
Mwenyekiti wa UWT Dar mama madabida akiwashukuru viongozi wa tanzania girl guide association kwa mchango waliotoa katika harambee hiyo ambapo pamoja na nguo, viatu, vifaa vya nyumbani na kadhalika pia kiasi cha sh. milioni 5 unusu taslimu zilipatikana

baadhi ya vitu vilivyochangwa katika harambee hiyo
Inatia moyo kuona sisi wabongo tunasaidiana hata katika maafa!!!but nasikia serikali ina mpango wa kuwahamisha walala hoi waliojenga karibu na jeshini????sasa huo ni udikteta!!!kwanini serikali isihamishe ghala la silaha sehemu nyingine mbali na walalahoi???masikini wamepata shida kujenga vibanda vyao leo heti wahame kweli ni sawa hivyo au udikteta kama wa afrika kusini??samaki mkubwa kula mdogo....i hope haitakuwa hivyo kwani si sawa na ni uonevu kwa masikini waliopata shida kujenga heti leo akaanze upya!!!
ReplyDeletenaliona gazebo kwa mbaali.
ReplyDeletemichuzi
ReplyDeleteHuyu mama madabida ni mwenyekiti na sio katibu kama ulivoandika hapo juu,mpe mtu hishma yake ala!!