Na David Azaria Geita
ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya zoezi la upigaji wa kura kufanyika katika jimbo la Busanda wilayani Geita mkoani mwanza,Helikopta ya CHADEMA imewasili kwenye jimbo hilo kwa ajili ya kuendeleza kampeni za chama hicho na kuuteka mamia ya wananchi wa jimbo.
Helikopta hiyo iliwasili katika mji mdogo wa Katoro ambapo ndipo yalipo makao makuu ya jimbo la Busanda majira ya saa 8;05 mchana,na kutua kwenye kiwanja cha nyumba ya kulala wageni ya Twiga iliyopo mita 50 kutoka katika kituo kidogo cha polisi cha Katoro,ambapo ndipo walipofikia viongozi kadhaa wa chama hicho pamoja na wapiga Debe wao.
Kuwasili wa helikopta hiyo kuliuzizma mji wa Katoro na kuwafanya mamia ya wananchi kukimbia kuelekea katika viwanja hivyo kwa ajili ya kushuhudia kuwasili kwa helikopta hiyo,na mara baada ya kuwasili na viongozi wa chama hicho kuanza kushuka wakiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe,mamia ya wananchi waliokuwa wamefurika kwenye eneo hilo walianza kushangilia kwa kunyoosha vidole viwili juu.
Kabla ya kutua katika eneo hilo Helikopta hiyo ilizunguka mji wa Katoro mara moja na baada ya viongozi hao kusalimiana na wananchi,baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliondoka na helikopta hiyo kwa ajili ya kuanza kampeni huku zikiwa zimesalia siku nne tu kabla ya zoezi la upigaji wa kura kufanyika.
Habari kutoka ndani ya CHADEMA zimesema kwamba wakati Jumanne kilitarajia kufanya mikutano mitatu,kuanzia leo chama hicho kitakuwa kikifanya mikutano sita hadi siku ya mwisho ya kamepni ambayo ni Mei 23 mwaka huu

Sasa tunasubiri helikopta ya CCM! Kaazi kwelikweli.
ReplyDeleteyaani CUF na CHADEMA wangekubaliana kuweka mgombea mmoja mbana ligi ingekuwa imeisha zamaani!
ReplyDeleteacha ushabiki watu wanakimbilia chadema sio pipa hapo geita kuna mapipa ya mkabulu ya kwenda na kurudi kwa madiba kila siku.
ReplyDeletechadema ushindi upo mikononi halaf nasikia kesi za mafisadi zimefutwa,michu unabana....
Tanzania tunaelekea wapi...watu wanaona helikopta basi imekua dili...hivi hata hawa waandishi wa habari wanaweka kichwa kikubwa cha habari kuhusu helikopta, badala ya kuongelea sera na mabadiliko gani hivi vyama vitayaleta iwapo wakiteuliwa wao wanaongelea helikopta. Jamani sisi bado kabisaaaaa!
ReplyDeleteRA anawalipia helikopta hao.
ReplyDeletemichuzi nafuu urudi bongo. Yaani siku nzima picha moja utafikiri mtandao siyo richabo.
ReplyDeleteNgojeni na sie atuletee ya Obama,ambayo wabeba mabokisi hamtaki kutugaia
ReplyDeleteHelicopter ni CEREMONIAL, what matters most ni kama wananchi wamejiandikisha kwa wingi na watakipigia kura chama gani. Jamani tusihadaliwe na mass inayohudhuria ktk mkutano, kuna uwezekano kwamba 50% ya watu walihudhuria hawakujiandikisha na hivyo hawatapiga Kura.
ReplyDeleteMkereketwa wa Ckama Cha xxxxxxx