
Ras Jikhoman na mwimbaji wake wakiwajibika katika usiku wa Bob Marley Day usiku wa kuamkia leo katika mgahawa wa guangzhou garden jijini Dar. wadau kibao toka kona ya jiji na vitongoji vyake walifurika katika shoo hii iliyorushwa laivu na kipindi cha Carribean Beat cha Clouds 88.4 FM chini ya DJ Massive

wadau wakijirusharusha kumkumbuka mfalme wa reggae

wapuliza midomo ya bata wa Ras Jhikoman walikuwa gado

".....aireeee rastafari.

DJ Massive akihamasisha kadamnasi

Bob Marley forever...

DJ Gotta Ire alijazia ngoma Jhikoman na bendi yake walipopumzika.

Nanihii akiwa na wadau kwenye shoo hiyo
video ya ras jikhoman na bendi yake wakirusha wadau katika
kusherehekea siku ya bob marley dar ijumaa usiku dar
Nadhani una maana "siku ya Bob Marley" na siyo "siku ya Bob Marley Day". Si vizuri kuchafua lugha japo ni Kiswahili-Kiingereza!!
ReplyDeleteJhikoman is da best in bongo
ReplyDeleteHe is da best reggae star
I love his music
He got talent
Salaam,
ReplyDeleteBob Marley naona anapewa sifa ndogo mno kwa jamii nyingi za Kibongo.Ni mmoja katika wanaharakati wa Ki-Pan Africa na mtetea haki za wanyonge kupitia sanaa ya Muziki.Ni mpinga Ubwanyenye , Utumwa na mapote yake ikiwemo Ufisadiii.Ingekuwa vyema watanzania tukarejea maandiko mengi ya wanafalsafa wa Kiafrika kama Walter Rodney kuelewa umuhimu wa watu kama Bob Marley, mwanzilishi wa changamoto weusi kurudi Africa Marcus Garvey, Burning Spears(Jomo Kenyata alijulikana kwa jina hili), Mtabaruka na wengine
Miziki wa Reggae si wa wavuta Bangi....
KWANIANI MARASTA WETU WENGI WAMECHOKA,URASTA SIO MAANA YAKE KULIPULIZA TU NO,UKOMBOZI WA RASTAFARI NI KUSOMA KWA BIDII,KUFANYA KAZI NA KUDUMISHA UPENDO NA UTAMADUNI WA MUAFRICA COS SOME OF US WE ARE LIVING IN CAPTIVITY YAAMAN BIG UP JIKO MAN.
ReplyDeleteJHIKO MAN JAPO NIMELIMISS ONYESHO KWA WADAU WALIOFIKA NA HIZI PICHA KWELI WEWE UNATISHA MZIKI UMETULIA SAFI SANA PIGA HATUA
ReplyDeleteMPILI ALIKOTOKOMEA (DARWIN)
Mziki umetulia. keep it up
ReplyDeletehalafu wababaishaji wakagawa tuzo ya wimbo bora wa reggae kwa m-bongofleva!!
ReplyDeletewewe mdau #1 vipi we mgeni humu ndani tukupe chamvi? Hizo ni "lugha zetu humu"eg mai waifu wake.hahaha usionyeshe kucha zako mapema.NAWAKALISHA
ReplyDeletehapo bangi mtuu!
ReplyDeleteMichuzi sema kweli bangi zilitawala
ReplyDeleteWachagga watakuwa walijaa maana wanapenda huu muziki sana
ReplyDeletekaka michu ulilewa kwa moshi hahahaa
ReplyDeleteNimefurahi kuona wa-Bongo mnajirusha na mambo ya Bobby! Anyway, wakati naangalia kwa makini hizi picha nimeona kama MKUU WA MKOA wa nanihii kama aka kitambi vile? We need you you man, you are doing a good job, cut your weight down a little so that you can leave longer.
ReplyDelete