

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HONGERRENI KWA KUBATIZA MTOTO, MUMFUNDISHE KUMTEGEMEA MUNGU KATIKA MAISHA YAKE.HONGERA BABY.
ReplyDeleteWadogo zangu hongereni sana. Mwenyezi azidi kuwabariki na mtuzeni na kumlea mtoto katika misingi ya malezi mlio lelewa ninyi. Untwa abasajege fijo.
ReplyDeleteDada
hongereni kwa kuja kumbatizia nyumbani pia msisahau kumpeleka mbeya akapaone alikotokea babu yake Gehaz Malasusa, pia sinza kwa shangazi yake Tina Malasusa
ReplyDeletenyie mlipopata makaratasi ndiyo mkaamua kuzaa mtoto ili awe raia wa uigereza tutawachomea tu kwa maana nyie watanzania mnaoana kwa kujuana bado tutawacho mpaka Embassy hasa nyie mnao jipeleka kama waimbaji kwaya wa Rose Mhando sisi wa Bahati tulinyimwa huko nyie mnatengeneza makaratasi
ReplyDeletehongereni sana
ReplyDeletewewe anoy 12:16 unachekesha yaani mpaka nimepaliwa, si na wewe ukazae wako uingereza. mijitu mingine ndio manake hamjaliwi shauri ya kikorosho, kwani makaratasi yao yalichana ya kwako? get lost!!!!!!!!!!toto batizwa na Baba mkubwa na maisha ni tike tuuuu
ReplyDeletei vema mlichofanya,lakini ni kheri ingekua WAKFU kwa Mungu,ili UBATIZO wa mwana aje awe ameweza Kutubu na Kuomba Rehema za Mola mwenyewe.
ReplyDeleteMaina Ang'iela Owino