Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa katika picha ya pamoja na mdau Timothy  Malasusa, ambaye ni mdogo wake,  akiwa na mai waifu wake baada ya ubatizo wa Kyra.  Timothy na Familia yake ambao walikuja nyumbani kwa sherehe hiyo wanatarajia kuondoka hivi karibuni kurejea Uingereza wanakoishi na kufanya kazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2009

    HONGERRENI KWA KUBATIZA MTOTO, MUMFUNDISHE KUMTEGEMEA MUNGU KATIKA MAISHA YAKE.HONGERA BABY.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    Wadogo zangu hongereni sana. Mwenyezi azidi kuwabariki na mtuzeni na kumlea mtoto katika misingi ya malezi mlio lelewa ninyi. Untwa abasajege fijo.

    Dada

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2009

    hongereni kwa kuja kumbatizia nyumbani pia msisahau kumpeleka mbeya akapaone alikotokea babu yake Gehaz Malasusa, pia sinza kwa shangazi yake Tina Malasusa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2009

    nyie mlipopata makaratasi ndiyo mkaamua kuzaa mtoto ili awe raia wa uigereza tutawachomea tu kwa maana nyie watanzania mnaoana kwa kujuana bado tutawacho mpaka Embassy hasa nyie mnao jipeleka kama waimbaji kwaya wa Rose Mhando sisi wa Bahati tulinyimwa huko nyie mnatengeneza makaratasi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2009

    hongereni sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2009

    wewe anoy 12:16 unachekesha yaani mpaka nimepaliwa, si na wewe ukazae wako uingereza. mijitu mingine ndio manake hamjaliwi shauri ya kikorosho, kwani makaratasi yao yalichana ya kwako? get lost!!!!!!!!!!toto batizwa na Baba mkubwa na maisha ni tike tuuuu

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2009

    i vema mlichofanya,lakini ni kheri ingekua WAKFU kwa Mungu,ili UBATIZO wa mwana aje awe ameweza Kutubu na Kuomba Rehema za Mola mwenyewe.

    Maina Ang'iela Owino

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...