Home
Unlabelled
msamaria wa marekani awazawadia madansa fulanazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wabeba boxi wengine wanaroho nzuri kiasi hicho. ni nani huyu ndugu amempa hao wakina kaka fulanazzzz nuzi ivyo,,wengine wanaumbwa na mioyo ya ajabu kweli. abarikiwe
ReplyDeletehuyu msamaria wamerekani ndo nani? kafisadi nini,,bana unajua bongo mafisadi wengi sikuhizi
ReplyDeletefulanazzzzzzzzz murua
ReplyDeleteJamani hizo t-Sheti za golfu ni a ghali sana moja nikama $90 alafu zinaonekana ni za high kwoliti . Huyu atakuwa hasheem thabeet. Yeye ndo mtanzania mwenye hela kuliko wote waTanzania walio marekani . Nitawarudisheni hela ili mnipe. Kila moja laki mbili
ReplyDelete...ila jamani...
ReplyDeletemaisha yana tofauti kubwa SANA
yan ubarikiwe uliewapa japo izo t-shirts ingawa hujasema ni ngapi
au ndo izo-izo apo??mana zinachakaa tu ni nguo izo
tujenge mioyo ya kusaidia watu moja kwa moja kama ivi wadau
Wewe Anony June 29 @ 06:32 pm Kakwambia nani kuwa Marekani hakuna Watanzania wenye hela? Watu wana hela na sio za kifisadi. Kama unataka hizi T-Shirt nitumie address yako kwa hii email ndungurua1978@yahoo.com. Hizi T-Shirt zimejaa kwa bei poa. Sio utani nitumie contact zako huone kama sitakutumia hizo T-Shirt.
ReplyDeleteMdau-USA