nanihii akiwa na mkuu wa itifaki wa miss tz mh. makoye wakimkabidhi fulanazzz dansa super convoy ambazo ameletewa yeye na mwenzie mmasai wa njano baada ya msamaria mwema aliyeko marekani kuwaona katika video iliyochezwa kwenye globu ya jamii.
kuona video hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2009

    wabeba boxi wengine wanaroho nzuri kiasi hicho. ni nani huyu ndugu amempa hao wakina kaka fulanazzzz nuzi ivyo,,wengine wanaumbwa na mioyo ya ajabu kweli. abarikiwe

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2009

    huyu msamaria wamerekani ndo nani? kafisadi nini,,bana unajua bongo mafisadi wengi sikuhizi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2009

    fulanazzzzzzzzz murua

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2009

    Jamani hizo t-Sheti za golfu ni a ghali sana moja nikama $90 alafu zinaonekana ni za high kwoliti . Huyu atakuwa hasheem thabeet. Yeye ndo mtanzania mwenye hela kuliko wote waTanzania walio marekani . Nitawarudisheni hela ili mnipe. Kila moja laki mbili

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2009

    ...ila jamani...

    maisha yana tofauti kubwa SANA

    yan ubarikiwe uliewapa japo izo t-shirts ingawa hujasema ni ngapi

    au ndo izo-izo apo??mana zinachakaa tu ni nguo izo

    tujenge mioyo ya kusaidia watu moja kwa moja kama ivi wadau

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2009

    Wewe Anony June 29 @ 06:32 pm Kakwambia nani kuwa Marekani hakuna Watanzania wenye hela? Watu wana hela na sio za kifisadi. Kama unataka hizi T-Shirt nitumie address yako kwa hii email ndungurua1978@yahoo.com. Hizi T-Shirt zimejaa kwa bei poa. Sio utani nitumie contact zako huone kama sitakutumia hizo T-Shirt.

    Mdau-USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...