Bi. harusi Mwanaharusi Shein na bwana harusi Abdalla Mitawi kwenye sherehe yao iliyofanyika tarehe 26/07/2009 zenji ndani ya bwawani hotel . Shoto ni mdogo wa mbwana harusi Aliy Mitawi na kulia ni kaka wa bwana harusi Eddy Mitawi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2009

    why why too much poda jamani
    ila hongereni
    all the best

    ReplyDelete
  2. Jamani sio kwamba nataka ku-critisise, lakini such a beautiful woman, what did she do to her face? amepaka nini?au ni poda? look at people around her they all look natural with human colour,lakini huyu mama does not have a human colour,hiyo rangi ya uso wake ni kama rangi nyeupe ya karatasi. Why did they do such a thing to her? especially on a special day like a wedding?

    Watu wengine wana roho mbaya jamani!

    ReplyDelete
  3. jamani naona aliyempamba bi arusi alimwambia asijiangalie kwenye kioo, she is cute but the poda!s i think was too much. lakini usijali dada mme unaye hongereni

    ReplyDelete
  4. Hii ni kawaida ya ki na mama wengi wa kizanzibar sijui walifundishwa na nani upakaji wa ponda,. asilimia kubwa ukienda kwenye harusi zao utatamani uchukue kitambaa umfute, ponda inazidi uso bwana kha

    ReplyDelete
  5. Hii ni kawaida ya ki na mama wengi wa kizanzibar sijui walifundishwa na nani upakaji wa ponda,. asilimia kubwa ukienda kwenye harusi zao utatamani uchukue kitambaa umfute, ponda inazidi uso bwana kha

    ReplyDelete
  6. Nyie kaeni tu mnachambua poda mwenzenu huyooo kapata mume anakula bata honeymoon nyie mpo tu poda poda

    ReplyDelete
  7. anony hapo juu wa 03:34 umesema kweli dada keshapata mume basi asijipake hata poda akajipake kinyesi kabisa,kupata mume kuta-justify anything.

    ReplyDelete
  8. Mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni huyo dada afadhali hakujichuna kama kina dada zetu hapa bongo ni kweli ponda nyingi lakini kutokea miaka hiyo karnr wazenji wamekuwa nautamaduni wa kupaka poda hata katika kwapa tafauti hapa kwetu bongo mamo ya manukato ni hivi baada ya kuingia mzee Riksa

    ReplyDelete
  9. we anony wa 10:15 PM naomba usitudanganye kwamba bara manukato yalikuja wakati wa mzee ruksa,ongelea nafsi yako wewe,sema mimi niliacha kunuka kikwapa wakati wa mzee ruksa.It's illiterate Tanzanians like you who misrepresent
    society,so speak for yourself [MORON]

    ReplyDelete
  10. MTOTO WA DIRECTOR WA RADIO ZBAR KAMUOA MTOTOWA MAKAMU WA RAIS....HONGERENI

    ReplyDelete
  11. HONGERENI SANA SANA, Mwanaharusi na Dullah. I wish ningekuwepo ktk ndoa yenu. My message to you "make sure your dreams come true".

    Kwa niaba ya wanacossovo wa IJMC hizi ni salamu kutoka kwa Papa Vinywaji. Tupo Pamoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...