Mama Salma Kikwete akiagana na baadhi ya wanafunzi walioshiriki katika maandamano ya kulaani vitendo vya mimba dhidi ya wanafunzi yaliyofanyika katika uwanja wa michjezo wa Nguzonane wilayani Maswa,Mkoani Shinyanga jana mchana

sasa kama hao watoto ni wanafunzi wakipinga wanafunzi kupewa mimba na vijeba, kwa nini wamevalishwa hayo mashati ya kijani.
ReplyDeleteNchi hii bado ina watu wanaoamini zaidi katika dhana ya vyama kuliko utaifa, wanadhani ukivaa kijani ndio uTanzania wako unakuwa bora. Achane kuchafua fikra za vijana wasijerithi UFISADI unaowanyima fursa za kuishi na kusoma katika shule bora kwa kuwa haki hizo zimeporwa na manyang'au.
U-chama hautaleta maendeleo. Rais akichaguliwa anakuwa rais wa Watz wote, sio wanachama wa chama chake tu. Hata huu mfumo wa rais kuwa mwenyekiti wa chama haufai. Hiki ni kitu ambacho tunapaswa kuiga kwa "wenzetu". Rais awe rais, kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama.
ReplyDelete