Q Chief a.k.a Q Chilla

Mwanamziki mwenye sauti zenye kuwafanya watu waache kazi zao pale mziki wake wa Ubongo wenye akili yaani BONGO FLAVA Q Chief a.k.a Q Chilla kichwa chake sasa ni cheupe kama kiganja cha mkono kwa kuwa ameamua sasa rasta basi na kuonyoa nywele zake zote na kubaki na kialaza. Hivi sasa anatamba na kibao chake cha mnanda ambao pia unajulikana kama mchiriku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2009

    Kijana anapendeza sasa,kumbe manywele yalikuwa yanamwaribu. hongera kwa kuliona hili na wengine naomba muige mfano wa kijana huyu. acheni kukumbatia mambo musiyoyajua mwanzo wala mwisho wake.kutwa kunuka majasho mitaani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2009

    mtu tofauti kabisa kijana wetu, lakini ndo kakua. ogopa kitu kula chumvi, utabadirika hata kama hutaki, na ukingangania utaonekana wa ajabu tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2009

    kweli kapendeza, ila na hizo nyusi kachonga au?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2009

    Umenyoa bado kuvua hereni hiyoooo ndio tutakuona mwanaume kweli. Vaa chain shingoni, Bracelets mkononi lakini herini ONDOA. Acheni kuiga Maujinga.

    ReplyDelete
  5. Jamani Q Chilla sio siri bora usingenyoa rasta zako kwan kichwa chako sichakukwangua para wala hujapendeza wadau hatujapenda kabisa but some how ur looking good big up!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2009

    Amebadilika sana na amependeza keep it up

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2009

    Umetoka msupuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  8. david villaJuly 09, 2009

    Q-Chilla siku moja nilikuona unahojiwa kwenye kituo kimocha cha TV Tanzania.Ulikuwa unaharibu kwa kujifanya kuongea kama wamarekani mara unauma ulimi mara unajifanya unachanganya na slang,hiyo siyo.Na mshale wangu wa saa unakupa zero.Jitahidi kuongea 'kitanzaniatanzania' wewe dogo usidhani huo ni umaaruifu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 09, 2009

    aaah kivyako
    Mdau-Mbije,A kAFANABO

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2009

    You look cool bro. Nakupenda! ila matabia yako mengine ya kujikweza yananiboa...lakini taratibu ndio mwendo. kama mdau alivyosema "unakua"

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 09, 2009

    Jamani mi naona sasa kapendeza.Alivyokua na rasta alikua mchafuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 09, 2009

    RASTA SIO UCHAFU-Kwa imani yetu kipara ndio uchafu. Ni kama Samson alivyo katazwa kiwembe kisipite kichwani kwake. Hivyo nywele hubeba baraka na nguvu ya mwanadamu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2009

    Rasta ndio anapendeza zaidi ila ziwe fupi na safi sio kama kichaa, kipara no!! ila kwa vile ndio ukubwa wenyewe na maamuzi ni yako its ok!!! who cares anyway, vaa herini, cheni zote akitaka ni maisha yake!!!!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 10, 2009

    Kanyoa nywele zote?????????? Mie mbona ndefu bado naziona au mwamaanisha...

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 10, 2009

    Q Chilla napenda sana macho yako, sasa naona umekua. Nashukuru Mungu kwa hilo.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 10, 2009

    Kila mtu nasikia umekua umekua...je ina maana watu wote wenye reasta bado watoto?

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 11, 2009

    hey chilla,me number yako tu cause u suits me.love u

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 11, 2009

    nimekupenda tu ghafla

    asa izo masikio,izo hereni

    hii pic ulipigia Myfair plaza km sikosei

    teh teh

    ReplyDelete
  19. ulivyokuwa na rasta ndo ulikuwa bomba ile mbaya nilikuwa niko hoi taaban juu yako kila nisikilizako clips zako za musik saaa aaaah...any way still unapendeza kalini rasta zilikuwa zinakupendezesha zaidi..

    mdau n.y

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...