Mwanamziki mwenye sauti zenye kuwafanya watu waache kazi zao pale mziki wake wa Ubongo wenye akili yaani BONGO FLAVA Q Chief a.k.a Q Chilla kichwa chake sasa ni cheupe kama kiganja cha mkono kwa kuwa ameamua sasa rasta basi na kuonyoa nywele zake zote na kubaki na kialaza. Hivi sasa anatamba na kibao chake cha mnanda ambao pia unajulikana kama mchiriku
Home
Unlabelled
Q-Chief anyoa rasta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kijana anapendeza sasa,kumbe manywele yalikuwa yanamwaribu. hongera kwa kuliona hili na wengine naomba muige mfano wa kijana huyu. acheni kukumbatia mambo musiyoyajua mwanzo wala mwisho wake.kutwa kunuka majasho mitaani.
ReplyDeletemtu tofauti kabisa kijana wetu, lakini ndo kakua. ogopa kitu kula chumvi, utabadirika hata kama hutaki, na ukingangania utaonekana wa ajabu tu.
ReplyDeletekweli kapendeza, ila na hizo nyusi kachonga au?
ReplyDeleteUmenyoa bado kuvua hereni hiyoooo ndio tutakuona mwanaume kweli. Vaa chain shingoni, Bracelets mkononi lakini herini ONDOA. Acheni kuiga Maujinga.
ReplyDeleteJamani Q Chilla sio siri bora usingenyoa rasta zako kwan kichwa chako sichakukwangua para wala hujapendeza wadau hatujapenda kabisa but some how ur looking good big up!!
ReplyDeleteAmebadilika sana na amependeza keep it up
ReplyDeleteUmetoka msupuuuuu!
ReplyDeleteUmetoka msupuuuuuuuuuu!
ReplyDeleteQ-Chilla siku moja nilikuona unahojiwa kwenye kituo kimocha cha TV Tanzania.Ulikuwa unaharibu kwa kujifanya kuongea kama wamarekani mara unauma ulimi mara unajifanya unachanganya na slang,hiyo siyo.Na mshale wangu wa saa unakupa zero.Jitahidi kuongea 'kitanzaniatanzania' wewe dogo usidhani huo ni umaaruifu
ReplyDeleteaaah kivyako
ReplyDeleteMdau-Mbije,A kAFANABO
You look cool bro. Nakupenda! ila matabia yako mengine ya kujikweza yananiboa...lakini taratibu ndio mwendo. kama mdau alivyosema "unakua"
ReplyDeleteJamani mi naona sasa kapendeza.Alivyokua na rasta alikua mchafuuuuuuuuu.
ReplyDeleteRASTA SIO UCHAFU-Kwa imani yetu kipara ndio uchafu. Ni kama Samson alivyo katazwa kiwembe kisipite kichwani kwake. Hivyo nywele hubeba baraka na nguvu ya mwanadamu.
ReplyDeleteRasta ndio anapendeza zaidi ila ziwe fupi na safi sio kama kichaa, kipara no!! ila kwa vile ndio ukubwa wenyewe na maamuzi ni yako its ok!!! who cares anyway, vaa herini, cheni zote akitaka ni maisha yake!!!!!!
ReplyDeleteKanyoa nywele zote?????????? Mie mbona ndefu bado naziona au mwamaanisha...
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteQ Chilla napenda sana macho yako, sasa naona umekua. Nashukuru Mungu kwa hilo.
ReplyDeleteKila mtu nasikia umekua umekua...je ina maana watu wote wenye reasta bado watoto?
ReplyDeletehey chilla,me number yako tu cause u suits me.love u
ReplyDeletenimekupenda tu ghafla
ReplyDeleteasa izo masikio,izo hereni
hii pic ulipigia Myfair plaza km sikosei
teh teh
ulivyokuwa na rasta ndo ulikuwa bomba ile mbaya nilikuwa niko hoi taaban juu yako kila nisikilizako clips zako za musik saaa aaaah...any way still unapendeza kalini rasta zilikuwa zinakupendezesha zaidi..
ReplyDeletemdau n.y