Mkuu wa wa maswala ya kibiashara wa Benki ya Afrika(BOA) Wasia Mushi(kulia) akiongea na wanahabari kuhusu Benki hiyo ilivyoungana na Vodacom Tanzania katika kutoa huduma ya M-pesa. Shoto ni Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza.
Mkuu wa udhamini na mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kushoto)akiwaelezea maafisa wa Benki ya Afirika(BOA) Selemani Ponda,Patrick Maleo,Wasia Mushi namna ya huduma ya M pesa inayotolewa na Vodacom mara baada ya Benki hiyo kuwa ya kwanza nchini Tanzania kushirikiana na Vodacom kutoa huduma hiyo muhimu na rahisi kwa jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2009

    ukiweka mchagga na muhaya! mambo yanaenda fresh sana, hawa jamaa akili nyingi. i like the service, will safe time and money 2. washomire!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2009

    angalia sura za mahesabu! ebu jitahiji asanterabi nawe ujiunge na hilo group! very smart and serious! ninachowapendea wachaga bwana, penya pesa hapaaribiki neno hata kama ajaenda shule!

    Nilikwambia mwanangu Asanterabi usichemshe kwenye hesabu! adou!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2009

    Hawa wahaya na wachaga wote inabidi ukiwaweka pamoja uwe makini vinginevyo hawakawii kulala mbele na mtaji....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2009

    Mmekariri kwamba wachaga na wahaya ndiyo wenye akili!!! Stereotype ahah ahaha!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2009

    Tunachotaka ni maendeleo kama wahaya na wachaga watafanya kazi kwa pamoja na kuleta maendeleo basi poa. Hawa jamaa uwa wanarohoo ngumu sana ukilinganisha na makabila mengine

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 15, 2009

    ebanae Wasia kanenepa kitu,kweli bongo ukiwa na elimu mambo mswano,naona bwa Patrick upo bado Sheraton ulitoka lini tena?inabidi nijiandae kurudi...lol.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2009

    PATRICK UMEOA? KAMA BADO NIKUPE MDOGO WANGU CV YAKE ANA DEGREE 1ST DEGREE ANA MBA FINANCE AMEZALIWA 1980 ANAFANYA KAZI KTK TAASISI MOJA YA KISERIKALI PIA HUWA NAKUONA SANA PALE AZANIA IBADA YA ASUBUHI SIKU HIZI UMEKUWA MVIVU HUJI. MICHU USINIBANIE NITOE USINI DELETE UJUMBE WANGU UMFIKIE MR PATRICK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...