Home
Unlabelled
VODACOM NA BOA BANK DAM-DAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ukiweka mchagga na muhaya! mambo yanaenda fresh sana, hawa jamaa akili nyingi. i like the service, will safe time and money 2. washomire!
ReplyDeleteangalia sura za mahesabu! ebu jitahiji asanterabi nawe ujiunge na hilo group! very smart and serious! ninachowapendea wachaga bwana, penya pesa hapaaribiki neno hata kama ajaenda shule!
ReplyDeleteNilikwambia mwanangu Asanterabi usichemshe kwenye hesabu! adou!
Hawa wahaya na wachaga wote inabidi ukiwaweka pamoja uwe makini vinginevyo hawakawii kulala mbele na mtaji....
ReplyDeleteMmekariri kwamba wachaga na wahaya ndiyo wenye akili!!! Stereotype ahah ahaha!
ReplyDeleteTunachotaka ni maendeleo kama wahaya na wachaga watafanya kazi kwa pamoja na kuleta maendeleo basi poa. Hawa jamaa uwa wanarohoo ngumu sana ukilinganisha na makabila mengine
ReplyDeleteebanae Wasia kanenepa kitu,kweli bongo ukiwa na elimu mambo mswano,naona bwa Patrick upo bado Sheraton ulitoka lini tena?inabidi nijiandae kurudi...lol.
ReplyDeletePATRICK UMEOA? KAMA BADO NIKUPE MDOGO WANGU CV YAKE ANA DEGREE 1ST DEGREE ANA MBA FINANCE AMEZALIWA 1980 ANAFANYA KAZI KTK TAASISI MOJA YA KISERIKALI PIA HUWA NAKUONA SANA PALE AZANIA IBADA YA ASUBUHI SIKU HIZI UMEKUWA MVIVU HUJI. MICHU USINIBANIE NITOE USINI DELETE UJUMBE WANGU UMFIKIE MR PATRICK
ReplyDelete