watu wanane waliotiwa mbaroni kwa tuhuma za uporaji na uuaji kwenye ujambazi uliofanyika kwenye benki ya NMB tawi la Temeke hivi karibuni wako kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar kujibu mashtaka yanayowakabiri.
habari kamili baadaye kidooogooo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Waache kutupotezea muda, kwani mwisho wa siku wanaachiwa huru kuwa hakuna ushahidi unaojitosheleza. SHAME ON YOU FISADIs

    ReplyDelete
  2. Afadhali. Na wale wa Kagoda nao vipi?

    ReplyDelete
  3. hivi mtu unakuwa una huakika gani kama hao waliowakamata ndio wenyewe? je kulikuwa na cameras? Tanzania inaendeshwa crazy crazy tu...hawaweki wazi ukweli

    ReplyDelete
  4. Waachieni tu msitake kuwaonea kama walivyotaka kumuonea zombe, wote wako safi tu!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...