watu wanane waliotiwa mbaroni kwa tuhuma za uporaji na uuaji kwenye ujambazi uliofanyika kwenye benki ya NMB tawi la Temeke hivi karibuni wako kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar kujibu mashtaka yanayowakabiri.
habari kamili baadaye kidooogooo...


Waache kutupotezea muda, kwani mwisho wa siku wanaachiwa huru kuwa hakuna ushahidi unaojitosheleza. SHAME ON YOU FISADIs
ReplyDeleteAfadhali. Na wale wa Kagoda nao vipi?
ReplyDeletehivi mtu unakuwa una huakika gani kama hao waliowakamata ndio wenyewe? je kulikuwa na cameras? Tanzania inaendeshwa crazy crazy tu...hawaweki wazi ukweli
ReplyDeleteWaachieni tu msitake kuwaonea kama walivyotaka kumuonea zombe, wote wako safi tu!!!!!
ReplyDelete