Home
Unlabelled
karly na dk. ali salim ahmed salim wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
God bless, God bless again. Y'all looking so stunning, I love ma Amne's attire and the bride, absolutely exquisite!!!
ReplyDeleteWrong picha kutumia kuleta ujumbe! Picha ina confuse! Ingekuwa vizuri kama Rais angekuwa katikati ya upande mmoja maharusi na wa pili wazazi.
ReplyDeletePili, wale wanaomsifiaga JK kuwa mtu wa pamba, again mkumbusheni kila uvaaji unategemeana na tukio. Kwenye harusi ni mambo ya evening wear, mainly dark suit, sio ilimradi unafikiri koti lako zuri hata kama halijafanana na suruali. It gotta be a suit! Yaani kaharibu picha hii!
Hongera maharusi!
We mjinga wa pili juu usijifanye mjuzi. We mwenyewe mshamba mshamba tu. Kila kitu kukosoa! Ebu jicheki na wewe hapo sasa hivi ulivyovaa...mshambaaa..
ReplyDeleteNaungana na anonymous wa Sun Aug 09, 03:39:00 PM, hata mimi nilipoangalia hiyo picha ya JK niliona hizo dosari ila hiyo ya mpangilio wakusimama niliipa benefit of the doubt kwamba inawezekana sio picha pekee waliopiga wote, yani inawezekana walipiga yengine maharusi wakiwa pamoja na huyo bwana mkubwa kati kati.
ReplyDeleteHuo uvaaji wa bwana mkubwa hapo utafikiri hakupewa mualiko kabla, yani kama vile alikutana na mshkaji wake maeneo ya karibu akamwambia na wao wajichanganye kwenye huo mnuso!
Nimefurahi kumwona JK na Maalim Sefu wakiwa pamoja na wakiwa na sura za bashasha, liwe funzo kwetu wale tunaotaka kutoana roho kwa mambo ambayo wenye nayo waaala hayawakoseshi kupeana cheers!
ReplyDeleteTuache utani jamani Ali Salim ameenda shule ! Sijawahi kuona mtanzania ambaye amesoma kiasi hiki,
ReplyDeletehttp://www.csmc.edu/13096.html
Kwani mpaka uandike majina manne? Dk. Ali Salim ingetosha kwani katika maelezo baadaye umefafanua kuwa ni mtoto wa Dk. Salim Ahmed Salim. Michuzi acha ulimbukeni!
ReplyDeleteHapo mheshimiwa kachemsha kwa kweli pamba haziendani kabisa na mnuso huo alafu kwenye mialiko ya kukagua vitu viwandani au mashambani ndio anapiga pamba za kufanana kwa kweli hapo bora angekaa kaka michuzi na ze fulanaz angetoka pina...mdau uholanzi nawakilisha.
ReplyDeletewhat kikwete is wearing is perfect! kwenye arusi siyo lazima uvae suruali na coat vinafanana. u can mix it up as long as unapangilia vizuri. hata bwana arusi anaweza kuvaa black pants na white or cream coat to make the wedding more colorful....and thats considerd formal wear or evening wear
ReplyDeletetena hii tabia ya kutenganisha mr & mrs kwenye picha wala hajaianza kwa vijana hawa. mnakumbuka siku ya happy birthday ya malecela?
ReplyDeleteHongera JK na vile vile Dk salim sr.kushindwa katika kura za maoni aimaanishi uadui. lkn Dr alikuwepo ktk harusi ya Ridhwani kikwete wadau nisaidieni.mdau Holland
ReplyDeletenamba 2 ulichosema ni sawa lakini lazima ujue wazi kuwa raisi wetu hana STYLIST, manake ndio angempangia vitu vyote hivo. Hata mama JK nadhani hana mtu pia manake anavaa vizuri vitenge ila usoni hana hata poda wala lipustiki, cha kushangaza tu ni kwamba wako ulaya kila siku so kaka michuzi ni vizuri ukijaribu kuiweka katikati yao kuwa wamteue mtu mmoja aje ulaya kujifunza kuwavisha rasmi viongozi wetu. JK kama kawaida yake ni kucheka tu. God bless our president.
ReplyDeleteSamahani nakwenda kwenye siasa kidogo.Nilikuwa najaribu kuangalia kwanini Kikwete kaogopa kumwadabisha aliyekuwa mwanasheria mkuu Bw. Chenge kuhusiana na sakata la rada.Ukisoma makala ya BBC news utaona Kikwete alikuwa anatetea rada kwa nguvu zote.Angalia hii link: We are not a department of the World Bank -� we are a country and it's a bit insulting to suggest that we need to wait for the World Bank to prescribe what's best for us
ReplyDeleteTanzanian Foreign Minister Jakaya Kikwete
kuuliza si ujinga, mbona hapa kama vile ni uarabuni? manake hakuna rangi ya kitanzania! au ndo mambo ya I believe I can fly...uh!....
ReplyDeleteYani kama kuna kitu kinachokera ni kama huyu Mon anon wa Aug 10, 01:19:00 AM. Hivi jamani hakuna zuri Africa kila kitu mnasifia Ulaya, hii kasumba mnaitoa wapi ya nyie waulaya kujiona mnajuwa kila kitu zaidi ya walio Africa?
ReplyDeletehuyu kijana surgeon naona ameenda shule si mchezo mpaka wamarekani wamempa ajira ya kudumu na ameamua kuoa mmarekani mzungu!hiyo ni dhahiri kwamba huyu kijana ni mtanzania ila sijui kama anampango wa kuja bongo kufanya kazi hapa tuna mwitaji au aweke hata asset ya hospitali hapa bongo bcoz mshahara anaopata ni aibu kutaja.
ReplyDeleteKarly Klinger Salim, mwanamke mzuri huyo kusema ukweli. Na hao walishaona Maui nafikiri mwezi wa nne mwaka huu, wamekuja tu kurudia harusi.
ReplyDeleteAli Ongera sana tumecheza sana basketball pale Gymkhana enzi zetu bwana.Pat-Magazeti Nipo South Carolina, Columbia.
ReplyDeleteWE MICHUZI TABIA YAKO YA KUBANABANA MESEJI ZA WATU SIO FRESH AS LONG MTU HATOI LUGHA CHAFU ACHA ROHO YA KOROSHO SASA UNAWEKA PICHA ZA NINI ACHA TUTOE COMMENT KAMA RAISI HAPIGI PAMBA KUENDANA NA TUKIO SI VIZURI AJUE????? AU UNAONA SIFA KUBANA?? AU HII NI BLOG CCM ACHA U-HATER HAPA NARUDIA TENA OBAMA ANAPIGA PAMBA ZA KUFA MTU ZINAZOENDANA NA TUKIO FULL STOP UKIBANA POA MESEJI UMEIELEWA HATA WEWE
ReplyDeletemdau mtori
anon 11/8/09 @ 1:18pm NAKUPA5,ndio zake michu kubania comment zawatu.michu mbona upo ivyo wangu?sawa tunajuwa we ndio mwenye mpini na maamuzi sasa nini maana ya kutuwekea kisehemu sie tumwage maneno yetu,kama vipi kitoe ili tuwe tunatizama picha na kusoma habari kama GAZETI.inakera mbaya mtu unakaa unaandika weee,then we unabana.
ReplyDeleteTANZANIA TUNA VASCO DAGAMA,SIDHANI KAMA TUNA PRESIDENT.MAFISADI WAMEIKOMBA NCHI SASA HIVI NAONA KIMYAAA SISIKII KITU.NYOOO MBIO ZA SAKAFUNI...NDIO ULIKOISHIA HUKO VASCO?JIANDAE KUTUDANGANYA TENA 2010 TUMEZOEA KUDANGANYWA.GOT ME!!