Jk akiwa katika picha ya pamoja na Katibu mkuu mstaafu wa umoja wa Afrika Dr.Salim Ahmed Salim(kushoto) Pamoja na Mkewe Amne Salim(kulia) na Dr.Ali Salim Pamoja na mkewe Karly Salim wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijinji Dar
akiwa na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad pamoja na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Abdulrahman Kinana wakati wa sherehe ya harusi ya Dr. Ali Salim Ahmed Salim mtoto wa Katibu mkuu wa mstaafu wa Umoja wa Afrika Dr.Salim Ahmed Salim iliyofanyika Ijumaa katika uklumbi wa Diamond Jubilee Hall jijini Dar


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. God bless, God bless again. Y'all looking so stunning, I love ma Amne's attire and the bride, absolutely exquisite!!!

    ReplyDelete
  2. Wrong picha kutumia kuleta ujumbe! Picha ina confuse! Ingekuwa vizuri kama Rais angekuwa katikati ya upande mmoja maharusi na wa pili wazazi.

    Pili, wale wanaomsifiaga JK kuwa mtu wa pamba, again mkumbusheni kila uvaaji unategemeana na tukio. Kwenye harusi ni mambo ya evening wear, mainly dark suit, sio ilimradi unafikiri koti lako zuri hata kama halijafanana na suruali. It gotta be a suit! Yaani kaharibu picha hii!

    Hongera maharusi!

    ReplyDelete
  3. mtambo wa kuerekebisha tabia-Kiboko ya vichwa vigumuAugust 09, 2009

    We mjinga wa pili juu usijifanye mjuzi. We mwenyewe mshamba mshamba tu. Kila kitu kukosoa! Ebu jicheki na wewe hapo sasa hivi ulivyovaa...mshambaaa..

    ReplyDelete
  4. Naungana na anonymous wa Sun Aug 09, 03:39:00 PM, hata mimi nilipoangalia hiyo picha ya JK niliona hizo dosari ila hiyo ya mpangilio wakusimama niliipa benefit of the doubt kwamba inawezekana sio picha pekee waliopiga wote, yani inawezekana walipiga yengine maharusi wakiwa pamoja na huyo bwana mkubwa kati kati.

    Huo uvaaji wa bwana mkubwa hapo utafikiri hakupewa mualiko kabla, yani kama vile alikutana na mshkaji wake maeneo ya karibu akamwambia na wao wajichanganye kwenye huo mnuso!

    ReplyDelete
  5. Nimefurahi kumwona JK na Maalim Sefu wakiwa pamoja na wakiwa na sura za bashasha, liwe funzo kwetu wale tunaotaka kutoana roho kwa mambo ambayo wenye nayo waaala hayawakoseshi kupeana cheers!

    ReplyDelete
  6. Tuache utani jamani Ali Salim ameenda shule ! Sijawahi kuona mtanzania ambaye amesoma kiasi hiki,
    http://www.csmc.edu/13096.html

    ReplyDelete
  7. Kwani mpaka uandike majina manne? Dk. Ali Salim ingetosha kwani katika maelezo baadaye umefafanua kuwa ni mtoto wa Dk. Salim Ahmed Salim. Michuzi acha ulimbukeni!

    ReplyDelete
  8. Hapo mheshimiwa kachemsha kwa kweli pamba haziendani kabisa na mnuso huo alafu kwenye mialiko ya kukagua vitu viwandani au mashambani ndio anapiga pamba za kufanana kwa kweli hapo bora angekaa kaka michuzi na ze fulanaz angetoka pina...mdau uholanzi nawakilisha.

    ReplyDelete
  9. what kikwete is wearing is perfect! kwenye arusi siyo lazima uvae suruali na coat vinafanana. u can mix it up as long as unapangilia vizuri. hata bwana arusi anaweza kuvaa black pants na white or cream coat to make the wedding more colorful....and thats considerd formal wear or evening wear

    ReplyDelete
  10. tena hii tabia ya kutenganisha mr & mrs kwenye picha wala hajaianza kwa vijana hawa. mnakumbuka siku ya happy birthday ya malecela?

    ReplyDelete
  11. Hongera JK na vile vile Dk salim sr.kushindwa katika kura za maoni aimaanishi uadui. lkn Dr alikuwepo ktk harusi ya Ridhwani kikwete wadau nisaidieni.mdau Holland

    ReplyDelete
  12. namba 2 ulichosema ni sawa lakini lazima ujue wazi kuwa raisi wetu hana STYLIST, manake ndio angempangia vitu vyote hivo. Hata mama JK nadhani hana mtu pia manake anavaa vizuri vitenge ila usoni hana hata poda wala lipustiki, cha kushangaza tu ni kwamba wako ulaya kila siku so kaka michuzi ni vizuri ukijaribu kuiweka katikati yao kuwa wamteue mtu mmoja aje ulaya kujifunza kuwavisha rasmi viongozi wetu. JK kama kawaida yake ni kucheka tu. God bless our president.

    ReplyDelete
  13. Samahani nakwenda kwenye siasa kidogo.Nilikuwa najaribu kuangalia kwanini Kikwete kaogopa kumwadabisha aliyekuwa mwanasheria mkuu Bw. Chenge kuhusiana na sakata la rada.Ukisoma makala ya BBC news utaona Kikwete alikuwa anatetea rada kwa nguvu zote.Angalia hii link: We are not a department of the World Bank -� we are a country and it's a bit insulting to suggest that we need to wait for the World Bank to prescribe what's best for us

    Tanzanian Foreign Minister Jakaya Kikwete

    ReplyDelete
  14. kuuliza si ujinga, mbona hapa kama vile ni uarabuni? manake hakuna rangi ya kitanzania! au ndo mambo ya I believe I can fly...uh!....

    ReplyDelete
  15. Yani kama kuna kitu kinachokera ni kama huyu Mon anon wa Aug 10, 01:19:00 AM. Hivi jamani hakuna zuri Africa kila kitu mnasifia Ulaya, hii kasumba mnaitoa wapi ya nyie waulaya kujiona mnajuwa kila kitu zaidi ya walio Africa?

    ReplyDelete
  16. huyu kijana surgeon naona ameenda shule si mchezo mpaka wamarekani wamempa ajira ya kudumu na ameamua kuoa mmarekani mzungu!hiyo ni dhahiri kwamba huyu kijana ni mtanzania ila sijui kama anampango wa kuja bongo kufanya kazi hapa tuna mwitaji au aweke hata asset ya hospitali hapa bongo bcoz mshahara anaopata ni aibu kutaja.

    ReplyDelete
  17. Karly Klinger Salim, mwanamke mzuri huyo kusema ukweli. Na hao walishaona Maui nafikiri mwezi wa nne mwaka huu, wamekuja tu kurudia harusi.

    ReplyDelete
  18. Pat-MagazetiAugust 11, 2009

    Ali Ongera sana tumecheza sana basketball pale Gymkhana enzi zetu bwana.Pat-Magazeti Nipo South Carolina, Columbia.

    ReplyDelete
  19. WE MICHUZI TABIA YAKO YA KUBANABANA MESEJI ZA WATU SIO FRESH AS LONG MTU HATOI LUGHA CHAFU ACHA ROHO YA KOROSHO SASA UNAWEKA PICHA ZA NINI ACHA TUTOE COMMENT KAMA RAISI HAPIGI PAMBA KUENDANA NA TUKIO SI VIZURI AJUE????? AU UNAONA SIFA KUBANA?? AU HII NI BLOG CCM ACHA U-HATER HAPA NARUDIA TENA OBAMA ANAPIGA PAMBA ZA KUFA MTU ZINAZOENDANA NA TUKIO FULL STOP UKIBANA POA MESEJI UMEIELEWA HATA WEWE
    mdau mtori

    ReplyDelete
  20. anon 11/8/09 @ 1:18pm NAKUPA5,ndio zake michu kubania comment zawatu.michu mbona upo ivyo wangu?sawa tunajuwa we ndio mwenye mpini na maamuzi sasa nini maana ya kutuwekea kisehemu sie tumwage maneno yetu,kama vipi kitoe ili tuwe tunatizama picha na kusoma habari kama GAZETI.inakera mbaya mtu unakaa unaandika weee,then we unabana.
    TANZANIA TUNA VASCO DAGAMA,SIDHANI KAMA TUNA PRESIDENT.MAFISADI WAMEIKOMBA NCHI SASA HIVI NAONA KIMYAAA SISIKII KITU.NYOOO MBIO ZA SAKAFUNI...NDIO ULIKOISHIA HUKO VASCO?JIANDAE KUTUDANGANYA TENA 2010 TUMEZOEA KUDANGANYWA.GOT ME!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...