ni wakati wa kongamano la wazi lililoandaliwa na chama cha CUF kuhusu matatizo kadhaa yaliyojitokeza visiwani hususan daftari la kudumu kupiga kura na daftari la ukaazi
Home
Unlabelled
kongamano la matatizo visiwani part II
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Huyu Jamaa ni mtemi hasa. Hivi kama angekuwa amewekwa kiti moto na CCM na kumuomba data angejibu kijeuri hivyo?. Kweli bado tuna safari ndefu sana za kujenga demokrasia ni pamoja na kubadili mawazo ya watu ya namna hii.
ReplyDeleteYaani Lipumba anaendelea kuuliza yeye hata kusikiliza hasikilizi anatafuta docs na kumtupia Hamad Yusuf. Nafikiri tunatakiwa kujenga utamaduni wa kuheshimiana maana kama mtu ana dhamana ya kusikiliza rufaa za watu inaonekana atakuwa anatisha watu wakifika kwake kwa jinsi anavyoonekana mbabe.
Yaani alichokifanya hapo si kusolve tatizo bali ni kuiongeza kwa kudhihirishia umma kuwa yeye ni representative sample ya watendaji wa serikali ya SMZ kuanzia masheha n.k.
jamani hebu Michuzi, nisaidie, Mtanzania ni nani? Na Mzazibari anaekaa Tanzania bara anatakiwa kupewa kitambulisho cha Ubara au vipi?
ReplyDeletena kwa nini mtu kutoka Tanzania bara apewe kitambulisho baada ya miaka kumi ya kukaa Zanzibar kwani amebadilisha nchi?
Jee unawakumbuka Janjaweed wa znz ktk uchaguzi wa mwaka 2005? jee unawajua master minders wake?
ReplyDeleteNawasilisha!!!!
LIPUMBA AKIMWAGA PUMBAZE
ReplyDeleteAisee huyu waziri kanipa ya mwaka yaani watanzania tokabara wanaoishi Zanzibar hawana haki kama wazanzibari ila watanzania toka zanzibar wanaoishi bara wanahaki kama Wabara...Du taabu kwelikweli, Unajua wakati Mzee Nyerere aliposema kwamba kwa wenzetu kuna WANZIBARI NA WAZANZIBARA ktk moja ya hotuba zake nilikuwa sikumwelewa vizuri BUT KNOW I DO.
ReplyDeleteNdugu michuzi naomba uniwekee wimbo wa "Msinitenge"
Thanx
YALEYALE WAZANZIBARI NA WAZANZIBARA
ReplyDeleteMzee Nanihii,
ReplyDeleteHuyu Waziri amejitahidi kueleza mtzamo wake. Sijui kama kuna uwezekano wa kusikia na upande wa hao wanaolalamika tukaweza kujua hoja zao na wanahisi tatizo ni nini.