

Habari za saum, pole kwa kipigo cha jana, lakini ndo mpira tena, unadunda.Sasa kaka ninaomba basi unitundikie kajitangazo kangu naambatanisha hapa chini. Ninakodisha na kuuza Projectors kwa matumizi mbalimbali. Nataraji kipigo cha jana hakitakuwa kimekunyima raha, na utanirushia hili tangazo langu kwenye Bloguuu ya Jamii.
Regards,
Mdau Bro Manyase.
0715 433 389
or
0754 433 389
or
email to



What's the f#^%ks aim of this Tangazo? I surely need and have been looking for one of this Projecta camera...ila contact is where?
ReplyDeleteMkuu nahitaji moja ya hizo projectors, huyo jamaa mwawasiliano yake ni yapi? Naomba awasiliane nami kwa barua pepe mzablon@gmail.com
ReplyDeleteAsante
NAOMBA MAWASILIANO PLZ
ReplyDeleteIs this adverts or just the pictures?
ReplyDeleteWhere are the contacts?
are you kidding us?
Mimi nazihitaji kwa ajili ya kukodi tu lakini mbona hakuna anwani??? ama mawasiliano. nitwangie email: nyati04@yahoo.com
ReplyDeleteHuyo mdau alitaka kutucheka tu kwa ile mechi ya juzi...sidhani kama alitaka kutangaza kitu hapo!
ReplyDeleteMANYASE INC, Ooohp, Sorry Sana wadau kwa usumbufu, Mawasiliano yetu yanapatikana kupitia 0715-433389 or 0754-433389 OR andika email to Kasulwa@live.com
ReplyDeleteKaribuni Sana Manyase.
Bro Manyase.
For Projectors Please call 0715-433389 or 0754-433389 or write email to Kasulwa@live.com
ReplyDeleteInawezekana kweli ikawa mimi pekeyangu ndio naweza kuona hizo contact au hazipo kweli????????? kwa maana sielewi mbona mimi naziona hizo contact kuna namba 2 za simu na email adres wadau vipi au swaum kali mdau uholanzi
ReplyDelete