Brother Mkuu wa nanhiiii,
Habari za saum, pole kwa kipigo cha jana, lakini ndo mpira tena, unadunda.Sasa kaka ninaomba basi unitundikie kajitangazo kangu naambatanisha hapa chini. Ninakodisha na kuuza Projectors kwa matumizi mbalimbali. Nataraji kipigo cha jana hakitakuwa kimekunyima raha, na utanirushia hili tangazo langu kwenye Bloguuu ya Jamii.
Regards,
Mdau Bro Manyase.
0715 433 389
or
0754 433 389
or
email to



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. What's the f#^%ks aim of this Tangazo? I surely need and have been looking for one of this Projecta camera...ila contact is where?

    ReplyDelete
  2. Mkuu nahitaji moja ya hizo projectors, huyo jamaa mwawasiliano yake ni yapi? Naomba awasiliane nami kwa barua pepe mzablon@gmail.com


    Asante

    ReplyDelete
  3. NAOMBA MAWASILIANO PLZ

    ReplyDelete
  4. Is this adverts or just the pictures?
    Where are the contacts?
    are you kidding us?

    ReplyDelete
  5. Mimi nazihitaji kwa ajili ya kukodi tu lakini mbona hakuna anwani??? ama mawasiliano. nitwangie email: nyati04@yahoo.com

    ReplyDelete
  6. Huyo mdau alitaka kutucheka tu kwa ile mechi ya juzi...sidhani kama alitaka kutangaza kitu hapo!

    ReplyDelete
  7. MANYASE INC, Ooohp, Sorry Sana wadau kwa usumbufu, Mawasiliano yetu yanapatikana kupitia 0715-433389 or 0754-433389 OR andika email to Kasulwa@live.com
    Karibuni Sana Manyase.

    Bro Manyase.

    ReplyDelete
  8. MANYASE INC.August 26, 2009

    For Projectors Please call 0715-433389 or 0754-433389 or write email to Kasulwa@live.com

    ReplyDelete
  9. Inawezekana kweli ikawa mimi pekeyangu ndio naweza kuona hizo contact au hazipo kweli????????? kwa maana sielewi mbona mimi naziona hizo contact kuna namba 2 za simu na email adres wadau vipi au swaum kali mdau uholanzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...