LEO NDIO LEO MSEMA KESHO MWONGO. ULE MPAMBANO WA REDDS MISS ILALA 2009 UTAFANYIKA USIKU WA LEO KWENYE VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR, AMBAPO WAREMBO HAO 17 WATAPANDA JUKWAANI KUMTAFUTA MALKIA WA ILALA KWA MWAKA HUU ATAEWAKILISHA WILAYA HII KATIKA VODACOM MISS TZ 2009.
REDDS-MICHUZIBLOG MISS PHOTOGENIC ATATANGAZWA.
TIKETI ZINAPATIKANA:
* KARIMJEE HALL
*SHEA ILLUSIONS MLIMANI CITY NA MILLENIUM TOWER
*FLAMING PHARMACY TABATA MAWENZI
*PARADISE UNISEX SALON MBEZI NA HAIDERY PLAZA.
MCHANGO NI:
*VIP - 50,000/-
*BUSINESS CLASS - 35,000/-
*ECONOMY CLASS - 10,000/-
KARIBU SANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. mbona kuna miss hapo kama joti joti hivi kwenye mstari wa mbele(2L or 3R) ban

    ReplyDelete
  2. Vimwana haooooooooooooooooo!!!!!!!!! lakini vimwana wa siku hizi wanajua mambo makubwa kuliko mama zao, Nawasilisha.

    ReplyDelete
  3. KWAKWELI MMEPENDEZA SANA SIO SIRI NAWATAKIA KILA BAHATI NJEMA ILA NIANDIKIENI KATIKA micheale2002@yahoo.com NIOE MMOJA WENU niko serious!!

    ReplyDelete
  4. Wazuri! Huyo dada wa kwanza mstari wa mbele hicho kiatu kikikukanyaga lazima upige yowe :)

    ReplyDelete
  5. Hawa ndio waliokuwa wanakula "mchele wangu" na kusema "michuzi maharage" kwenye "interview" ya Michuzi hivi majuzi? Mbona warembo sana? Jamani msiniangushe wanangu. Jiendelezeni kwa elimu, hawa manager wa Ms. Tanzania nk. wanawanyonya sanaaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  6. vibayaaaaaa. hivi si ndo vile vinavyomuita michuzi, michuzi maharage?? ha ha ha ha pole sana kaka naona ulipatikana kweeeelikweli. hivyo ndo vischana vya uswazi bongo ukicheka nako tu hata kama uko unakakamua room hakakawii kukutwanga dongo!!! we uko shughulini unatafuta la pili, kenzako walaa hakajali wala kuhisi kitu, ndo kwaaanza kanakwambia "hanii ukimaliza kufanya si utanipa hela ya saluni na ya kulipia karo si eti eeh??" na we unakajibu "aaaaagh sa' ndo nini mbona unanrushia stimu?? subiri gemu liishe bwana aagh".
    kesho ukikarudia we kidume tena sugu!! teh teh teh kaazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  7. *VIP - 50,000/-
    *BUSINESS CLASS - 35,000/-
    *ECONOMY CLASS - 10,000/-
    Jamani ndege yetu hii yaelekea wapi?
    Mbona Miss Ilala wanafagiliwa sana kuliko hata mamiss wetu wa KINO.. au kaka michuzi watoka Ilala?

    ReplyDelete
  8. tatizo tukitaka kushinda lazima tupeleke mtu mwenye pua ndo na nyembamba iliyochonga mpaka hapo sioni mshindi...wenzetu huko wanapenda visura medium na pua nyembamba na si kubwa kama ya mshindi wetu yule mhindi naye ilikuwa kubwa sana...nawasilisha.

    ReplyDelete
  9. Business class! Hahaa! Hahaa! Hahaa! tehe! tehe! Tihi!tihi! Uuh uuh.

    ReplyDelete
  10. hahahaha, Mbona hizi prices kama za ndege lol, eti business class,economy ..kha si kitoto
    Mdau Birmingham,Uk

    ReplyDelete
  11. Picha nzuri lakini watu bwana....ngoja niwatolee uvivu manake kwa uvivu tumezidi bongo....Picha nzuri hivi lakini hapo chini hata kupaosha kidogo. Sakafu chaaaaafu...one power wash jamani kwa maonyesho yenye jina hivi?

    ReplyDelete
  12. BONGO TAMBARARE MMEUONA MCHANGO WA MLANGONI?

    ReplyDelete
  13. Anonymous wa saa 06:52:00 PM, it seems mvua imenyesha ndo mana unaona kama sakafu chafu lakini ni maji hayo.Nawasilisha, though warembo wachache sana walikuwa na sifa za kuitwa mamiss Ilala na mmoja wapo ni Sylvia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...