
REDDS-MICHUZIBLOG MISS PHOTOGENIC ATATANGAZWA.
TIKETI ZINAPATIKANA:
* KARIMJEE HALL
*SHEA ILLUSIONS MLIMANI CITY NA MILLENIUM TOWER
*FLAMING PHARMACY TABATA MAWENZI
*PARADISE UNISEX SALON MBEZI NA HAIDERY PLAZA.
MCHANGO NI:
*VIP - 50,000/-
*BUSINESS CLASS - 35,000/-
*ECONOMY CLASS - 10,000/-
KARIBU SANA
mbona kuna miss hapo kama joti joti hivi kwenye mstari wa mbele(2L or 3R) ban
ReplyDeleteVimwana haooooooooooooooooo!!!!!!!!! lakini vimwana wa siku hizi wanajua mambo makubwa kuliko mama zao, Nawasilisha.
ReplyDeleteKWAKWELI MMEPENDEZA SANA SIO SIRI NAWATAKIA KILA BAHATI NJEMA ILA NIANDIKIENI KATIKA micheale2002@yahoo.com NIOE MMOJA WENU niko serious!!
ReplyDeleteWazuri! Huyo dada wa kwanza mstari wa mbele hicho kiatu kikikukanyaga lazima upige yowe :)
ReplyDeleteHawa ndio waliokuwa wanakula "mchele wangu" na kusema "michuzi maharage" kwenye "interview" ya Michuzi hivi majuzi? Mbona warembo sana? Jamani msiniangushe wanangu. Jiendelezeni kwa elimu, hawa manager wa Ms. Tanzania nk. wanawanyonya sanaaaaaaaaaaaaaaa.
ReplyDeletevibayaaaaaa. hivi si ndo vile vinavyomuita michuzi, michuzi maharage?? ha ha ha ha pole sana kaka naona ulipatikana kweeeelikweli. hivyo ndo vischana vya uswazi bongo ukicheka nako tu hata kama uko unakakamua room hakakawii kukutwanga dongo!!! we uko shughulini unatafuta la pili, kenzako walaa hakajali wala kuhisi kitu, ndo kwaaanza kanakwambia "hanii ukimaliza kufanya si utanipa hela ya saluni na ya kulipia karo si eti eeh??" na we unakajibu "aaaaagh sa' ndo nini mbona unanrushia stimu?? subiri gemu liishe bwana aagh".
ReplyDeletekesho ukikarudia we kidume tena sugu!! teh teh teh kaazi kwelikweli.
*VIP - 50,000/-
ReplyDelete*BUSINESS CLASS - 35,000/-
*ECONOMY CLASS - 10,000/-
Jamani ndege yetu hii yaelekea wapi?
Mbona Miss Ilala wanafagiliwa sana kuliko hata mamiss wetu wa KINO.. au kaka michuzi watoka Ilala?
tatizo tukitaka kushinda lazima tupeleke mtu mwenye pua ndo na nyembamba iliyochonga mpaka hapo sioni mshindi...wenzetu huko wanapenda visura medium na pua nyembamba na si kubwa kama ya mshindi wetu yule mhindi naye ilikuwa kubwa sana...nawasilisha.
ReplyDeleteBusiness class! Hahaa! Hahaa! Hahaa! tehe! tehe! Tihi!tihi! Uuh uuh.
ReplyDeletehahahaha, Mbona hizi prices kama za ndege lol, eti business class,economy ..kha si kitoto
ReplyDeleteMdau Birmingham,Uk
Picha nzuri lakini watu bwana....ngoja niwatolee uvivu manake kwa uvivu tumezidi bongo....Picha nzuri hivi lakini hapo chini hata kupaosha kidogo. Sakafu chaaaaafu...one power wash jamani kwa maonyesho yenye jina hivi?
ReplyDeleteBONGO TAMBARARE MMEUONA MCHANGO WA MLANGONI?
ReplyDeleteAnonymous wa saa 06:52:00 PM, it seems mvua imenyesha ndo mana unaona kama sakafu chafu lakini ni maji hayo.Nawasilisha, though warembo wachache sana walikuwa na sifa za kuitwa mamiss Ilala na mmoja wapo ni Sylvia.
ReplyDelete