Home
Unlabelled
sherehe za jeshi la wananchi kutimiza miaka 45
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JESHI GANI HILI LISILOWEZA KULINDA WATANZANIA WANAOIBIWA NG'OMBE NA WAKENYA?
ReplyDeleteUPUUZI MTUPU, SASA HILI JESHI LIKO KWA FAIDA YA NANI IWAPO HALIWEZI KULINDA MIPAKA YETU?
WATANZANIA UPOLE WETU UNATUUMIZA, HAKUNA SABABY YA MANYANG'AU KUIBA NG'OMBE WA WATU WETU MASKINI.
KAMA HILI JESHI HALIWEZI KUWATETEA, BASI HAKUNA HATA HAJA YA KUFANYA SHEREHE.
michuzi mimi naomba kuuliza hivi kiutendaji nani mkubwa kati ya Masilingi na Mwinyi? mimi naona Mwinyi ndo alistahili kua mgeni rasmi yeye akiwa kama waziri wa wizara husika. ni hayo tu mhesimiwa mkuu wa wilaya.
ReplyDeleteSASA WALE ASKARI WA KIKOSI CHA KUTUNGUA NDEGE, NAWAONA WAMEBEBA YALE MA-ROCKET INAMAANA WATABEBA HIVYO BEGANI SIKU NZIMA AU NDIO BEGA 1 LIKUMA ANAHAMISHIA JINGINE NA AKICHOKA KABISA WANAPEANA ZAMU YA KULINYANYUA MPAKA MDA WA MAONESHO UISHE.... teh teh teh tehehehe....kweli hii ni TANZANIA ZAIDI YA UIJUAVYO...
ReplyDeleteNalipongeza jeshi letu kwa kutimiza miaka 45 ya kuanzishwa kwake. majukumu mengi limetekeleza na hasa zile vita vya kusini mwa afrika.katika kuikomboa msumbiji,zimbabwe, namibia, angora na nyinginezo. pia kuhakikisha utawala mbovu wa makaburu kule afrika ya kusini unakoma.
ReplyDeleteIla nalisihi jeshi kuacha kuingilia mambo ya ndani, kama majuzi katika kituo kimoja cha televisheni tumeoneshwa wanajeshi wakishiliki kupambana na wananchi wakati wa uandikishaji wa daftari la kudumu kule zanzibar. nafikili hiyo si kazi ya jeshi hata kidogo nikuingilia mambo yasiyo wahusu.
Pia tabia ya kupiga wananchi hovyo bila sababu nayo muikomeshe kabisa.
kiswahili bwana....!! sio maonesho ni maonyesho, wakishiliki wakishiriki, nafikili nafikiri, hovyo ovyo, angora angola mie naona ni poa siku nyingine ikawa mada ya neno moja linalokosewa sana wadau tukalichangiakutoa usahihi wake kwa vile hii ni blog ya jamii tunataka kiswahili safi kama kiinglish is not richabo na lugha ya taifa pia???
ReplyDeletemtanzania, north america
huyo anony anaesema sio maonesho ni maonyesho kajifunza wapi kiswahili? nakumbuka nikiwa form two , mwalimua wangu wa KISWAHILI alinifundisha kwamba, KUONYESHA kunatokana na neno KUONYA.Ukilinyumbua ndio utapata neno KUONYESHA,MAONYESHO,NK. ila MAONESHO yanatokana na kuona(ONA), ukilinyumbua ndio utapata ONESHA,MAONESHO, NK. HIVYO BASI MAONESHO NI NENO SAHIHI KABISA.
ReplyDeleteMdau wewe ndio hujui kiswahili ni maonesho na sio MAONYESHO! Ukinyumbulisha neno maonyesho utakutana na neno kuonya! na ukinyumbulisha neno kuonesha utapata neno kuona! Upo hapo mdau?
ReplyDeleteAnon wa Aug 27,12:07:00 PM, kwa kukataa neno MAONESHO kuwa siyo sahihi naona nawe unachemsha. Hicho ndicho kiswahili fasaha.
ReplyDeletePengine kosa ambalo naliona na ambalo wengi wetu tunalifanya ni kumtaja Generali Mwamnyange kama Mkuu wa Majeshi.Hii siyo sahihi. Ukweli yeye ni Mkuu wa Majeshi ya ULINZI.(CHIEF OF DEFENCE FORCES).Polisi na Magereza nayo ni majeshi. Sasa mtu akisema Mkuu wa Majeshi ina maana yeye ni Mkuu wa Polisi na Magereza pia. Nawakilisha.
Mdau USA
Kaka michuzi, nalipongeza jeshi letu kwa kutimiza umri wa miaka 45 likiwa na kiongozi msomi na wasomi kadhaa ndani ya jeshi hilo.Kwa maoni aliyoyatoa mdau wa hapo juu inatujulisha wazi ni kijana mdogo aliyezaliwa bila shaka baada ya awamu ya pili. Na ndio gharama ya vijana ambao hawakufundwa katika jeshi la kujenga taifa, na ndio maana anakuwa na maoni" wazi yasiyo na tija". Kazi ya jeshi sii kukomboa mifugo inayoibiwa na wahalifu wachache wa nchi jirani. Kufanya hivyo ni sawa na baba mzimaaa kuingilia ugomvi wa watoto wadogo marafiki walio chini ya umri wa miaka 5.Matokeo yake dakika chache wanaendelea kuwa marafiki. Ni wapi utauficha uso wako?? Zipo shughuli wanazoweza kuzifanya ambazo mdau wala hatopata taarifa kwamba zimefanyika. yeye aendelee kuishi na kuvuta hewa kwa amani huku akiamini kwamba uwezo wake wa kifikiria hauna ukomo. Hongeta TPDF
ReplyDeleteIt is easy to become a soldier when there is no War
ReplyDeletembavu zangu hahahahaaaa annons 4.44pm,10.06am,3.02am
ReplyDeletejamani watu mna visa?
ila kusema ukweli dah jamaa mkuu wa majeshi MWAMUNYANGE...unanimaliza kabisaaa yani nimekufa nimeoza kwako,ivi inaruhusiwa siku japo nisogee nikupe mkono?au nikuwawooo?
basi tu sina la kusema,serious tena ukipiga ilo jezi ndo nalowaaaa
safi sana Afande Bahati kwa kuwakilisha TATC-Nyumbu,hongera JWTZ kwa miaka 45.
ReplyDeleteKuna Mdau Kanigusa Kuwaambia Waache Kutogonga Hawa Wajesh Uswazi Namuunga Mkono Sana Na Pia Wasituvue Vtshirt Vyetu Vya Mtumba Kisa Vinamabaka mabaka
ReplyDeleteWadau nauliza hivi hao askari wanaovaa kofia nyekundu ni wa vikosi gani? Maana ukiona blue basi ni anga, kijani ni wa miguu na nyeupe ni wa maji. Sasa hao nyekundu ni wa kikosi gani? Anayejua basi hatufahamishe. Salaam
ReplyDeleteAnon wa Thu Aug 27, 10:28:00 PM, kama sijakosea wanaovaa kofia nyekundu ni makomandoo wa JWTZ
ReplyDeleteBongo kweli tambarare, mtu anafanyiwa procedure ya kung'olewa meno mbele ya kadamnasi yoote hiyo? Hapo ni anasaidiwa kung'olewa jino ama anazidishiwa magonjwa kwa kuongezewa ma-bacteria kwenye icho kidonda kinachochimbuliwa kwenye magego? Oh My god!!!!
ReplyDelete