Visura waliofanikiwa kupita katika mchujo uliofanyika katika wilaya ya Karatu, MaryJoel kushoto na Mwatatu Frances katika pozi
Visura kutoka wilaya ya Karatu waliofanikiwa kufikia ngazi ya Taifa, Mary JoelKushoto na Mwatatu Frances wakiwa na mtangazaji mpya wa kipindi cha Kisurakitakachokuwa kikirushwa na TBC1 kuanzia mwezi ujao Brighter Fredy Katikati

Visura wakiwa na majaji katika picha ya pamoja, kutoka kushoto Mwatatu Frances, EmmyMelau ambaye ni Jaji na mshindi wa kisura mwaka jana, Mary Joel, Ally remtullah naNeshino ambaye ni jaji na mshiriki wa shindano la kisura mwaka jana



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. tunasaka kisura wa afrika, masharti ni kwamba asiwe na nywele za kiafrika. Haya pwaga twende tutafika tuu

    ReplyDelete
  2. Michu izi ndizo tutaziweza lakini Zombe awapi,Tusisahau kumpigia kula Iliminata Mtanzania mwenzetu.

    ReplyDelete
  3. tunapenda kushiriki arusha lini mashindano jamani mimi ni kisura pia

    ReplyDelete
  4. Jamani watuambie hao visura wamechaguliwa kwa vigezo na sifa gani kwanza. Kama mimi ninavyofahamu kisura wa Afrika anatakiwa awe na nywele zake asilia zakiafrika, Mrefu, Mwembamba, yaani Uso natural asijirembe saaana sasa hapo vigezo gani vimetumika kuwaeka hao washiriki?

    Kama ni urefu sawa ni warefu ila huyo wa katikati No no no no mfupi.

    Nywele watoe hayo mawigi wabaki kama huyo kisura wa mwaka jana alikuwa bomba kweli kweli.

    Hatutaki vitu feki, uchina uchina hatutakiiii.

    ReplyDelete
  5. Sifa za visura Afrika ni zipi? Wasuke basi mitindo yakiafrika mfano Mabutu (vitunguu), wavae kiafrika mfano kimasai, kanga nk. ndio tutajua ni visura wa Afrika (Watambulishe uafrika) sasa hao Ni visura wakimarekani au UK? Mywele zao mbona ni zakidhungu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...