Visura waliofanikiwa kupita katika mchujo uliofanyika katika wilaya ya Karatu, MaryJoel kushoto na Mwatatu Frances katika pozi
Visura kutoka wilaya ya Karatu waliofanikiwa kufikia ngazi ya Taifa, Mary JoelKushoto na Mwatatu Frances wakiwa na mtangazaji mpya wa kipindi cha Kisurakitakachokuwa kikirushwa na TBC1 kuanzia mwezi ujao Brighter Fredy Katikati
Visura wakiwa na majaji katika picha ya pamoja, kutoka kushoto Mwatatu Frances, EmmyMelau ambaye ni Jaji na mshindi wa kisura mwaka jana, Mary Joel, Ally remtullah naNeshino ambaye ni jaji na mshiriki wa shindano la kisura mwaka jana
Visura wakiwa na majaji katika picha ya pamoja, kutoka kushoto Mwatatu Frances, EmmyMelau ambaye ni Jaji na mshindi wa kisura mwaka jana, Mary Joel, Ally remtullah naNeshino ambaye ni jaji na mshiriki wa shindano la kisura mwaka jana
tunasaka kisura wa afrika, masharti ni kwamba asiwe na nywele za kiafrika. Haya pwaga twende tutafika tuu
ReplyDeleteMichu izi ndizo tutaziweza lakini Zombe awapi,Tusisahau kumpigia kula Iliminata Mtanzania mwenzetu.
ReplyDeletetunapenda kushiriki arusha lini mashindano jamani mimi ni kisura pia
ReplyDeleteJamani watuambie hao visura wamechaguliwa kwa vigezo na sifa gani kwanza. Kama mimi ninavyofahamu kisura wa Afrika anatakiwa awe na nywele zake asilia zakiafrika, Mrefu, Mwembamba, yaani Uso natural asijirembe saaana sasa hapo vigezo gani vimetumika kuwaeka hao washiriki?
ReplyDeleteKama ni urefu sawa ni warefu ila huyo wa katikati No no no no mfupi.
Nywele watoe hayo mawigi wabaki kama huyo kisura wa mwaka jana alikuwa bomba kweli kweli.
Hatutaki vitu feki, uchina uchina hatutakiiii.
Sifa za visura Afrika ni zipi? Wasuke basi mitindo yakiafrika mfano Mabutu (vitunguu), wavae kiafrika mfano kimasai, kanga nk. ndio tutajua ni visura wa Afrika (Watambulishe uafrika) sasa hao Ni visura wakimarekani au UK? Mywele zao mbona ni zakidhungu?
ReplyDelete