wana madrasa wa bukoba mjini wakiimba qsda kwa watoto yatima wa Bukoba Mjini wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi wikiendi hii.
Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom mjini Bukoba akisaidia kugawa futari kwa baadhi ya watoto yatima wa Bukoba Mjini iliyotolewa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi pia aina nyingine za misaada ya kibinadamu kwa watoto hao.

Baadhi ya watoto yatima wa mjini Bukoba, wakila futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo Vodacom pia ilikabidhi misaada mingine ya kibinadamu kwa watoto hao.

Baadhi ya watoto yatima wa Bukoba Mjini wakila futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi pia aina nyingine za misaada ya kibinadamu kwa watoto hao.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwezi mtukufu unaondoka na matukufu yake, wale waliofunga kwa ajili ya mwezi sasa watafungulia na wale waliofunga kwa ajili ya kumtii mwenyezimungu wataendelea kufunga.
    Inasikitisha kwani inakuwa kama mtu aliyefua shati lake likawa safi na siku ya siku anaamua kugalagala kwenye matope.

    http://miram3.blogspot.com/2009/09/mgeni-mtukufu-anaondoka.html

    Tumshukuru mwenyezi kutufikisha hapa tulipo na kuliona kumi hili la mwisho na tumuombe atuwezeshe kuiona Idd, kwa imani thabiti.

    ReplyDelete
  2. Sikatai kuwafuturisha sio vibaya , lakini vodacom watoto hao wanahitaji zaidi ya kula , ukimpa mtu samaki akila amesahau na ataendelea kukutegemea lakini ukimfundisha namna ya kuvua samaki mwenyewe tajitegemea, watoto yatima wanahitaji zaidi ya mlo , mipango yenu iwe kuwapa hao watoto msingi wamaisha mambapo hata baadaye wakiwa watu wazima waweze kusema nimefika hapa nilipo ka nguvu za mungu na mchango mkubwa kutoka VODACOM,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...