Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifungua rasmi ujenzi wa makao makuu ya chuo kikuu huria cha Tanzania yatakayojengwa mjini Kibaha. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za chuo hicho zilizopo Kinondoni Biafra jijini Dar. Kulia kwake na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Tolly Mbwete. Mahafali ya chuo yanatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Kibaha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. hivi pinda amesahau kauli yake ya viongozi kutokuvaa suti? sasa yeye anafanyaje? hivi haelewi maneno ya kiongozi mkubwa yanaweza kuchukuliwa as precedents kisheria?

    ReplyDelete
  2. Kwani hii ni blog ya vichogo tu?? Naona sioni habari za wazanzibar kabisaaa!

    ReplyDelete
  3. hivi wewe anon wa pili 30 oct 8:59
    unawaita nani vichogo?
    shika adabu yako, heshima yako iko makalioni, na usisahau haiuzwi dukani. mijitu mingine bwana!!!!
    na wewe si uianzishe ya kwako? ili uweke habari unazotaka wewe alaaa (nakufyonza)
    wewe unajua kabisa Mithupu anaishi Dar, atatoa wapi hizo habari za visiwani kama wao hawazitumi kwake? Mbona watu wa Bukoba na Mtwara wasilalamike? kama una habari tuma kwa kwa Michuzi, ataiposti kama wadau wengine woote popote walipo duniani wanavyofanya.
    Michuzi wewe achana na watu kama hawa hawana mpango.

    Hit the road if you don,t like the way things running in this blog.

    Mdau
    ughaibuni

    ReplyDelete
  4. we hapo juu unaedai huoni habari za wazanzibar ati unaona vichogo tu sijui ushuzz gani fungua blog yako ya wazanzibar tu huna adabu!

    ReplyDelete
  5. Heee kwani nani vichoogo jamani sielewi?

    ReplyDelete
  6. kaka wa hapo juu usikasirike sana. Huyo aliyoandika "vichogo" ni mzaliwa wa Kamachumu na kasoma shule ya msingi Mazengo , kata ya Kikuyu , kwetu Idodomile.

    Kama anatuita vichogo na yeye pia ni "chogo". Usihangaike na wachonganishi..

    ReplyDelete
  7. @ Nautikasi hii kali ubaguzi mpk kwenye habari! na nathani mnapoelekea nyie uliopigwa bapa nyuma mtafika karibuni ungetuambia tu Wapemba wana tofauti gani na Waunguja! maana umeanza oh Vichoho utaenda oho Wapemba weupe! Sisi tuna funguo za ghala za bunduki tunawangoja tu mlete fyokofyoko muone!

    ReplyDelete
  8. Wewe unauliza habari za Zanzibar una maana gani? Inaelekea wewe una damu ya kibaguzi ya Uzanzibar na Utanganyika.

    Michuzi habari anaweka kutoka kila kona ya dunia. Kwanza hivi karibuni kulikuwa na picha ya Karume akitoa kwenye mkutano wa UNESCO. Vile vile kuwalikuwa na picha ya foleni Zanzibar. Hukuona hizo au hazikuwa habari.

    Acha kutoa maneno ya kibaguzi na ambayo hayana matiki.

    ReplyDelete
  9. Aaah!, mijitu yenye damu ya ubaguzi utaijua tu. Bro Misupu anajitahidi kutuhabarisha namna hii wewe unaibua mambo ya ubaguzi. Nilitegemea umlaumu Bro Michu kama asinge "post" mambo ya huko kwenu, kumbe unataka apande chombo kutafuta mambo ya mdebwedo, nauli umempa. Karne hii ya "globalism" na "globalisation" bado mna mambo ya kibaguzi!!!. Ndo maana unatokea MCHAMBAWIMA. AAh...unaudhi sana.

    ReplyDelete
  10. Ha ha ha ha ha ha...vichogo wamekasirika hao! Sasa kama muna machogo mie niwasaidiaje?

    ReplyDelete
  11. HUYU NI FALA TU, THE OUTCAST YA WAARABU, KIJUKUU CHA WATUMWA.

    ReplyDelete
  12. Namjua "nautiakasi", mbaguzi huyo! Anatokea Pemba, kasoma UD na sasa yuko Sweden. Mahadhi acha hizo!

    ReplyDelete
  13. kawaida yao hata wasomeje ustaarabu kwao ni ziro mdebwedoooooo fungua blog yako uweke ukoo wenu

    ReplyDelete
  14. We unaetaja majina ya watu hapa nyambafu kabisa, una hakika huyo nautiakasi ndo Mahadhi? Acha kujihashuwa.

    ReplyDelete
  15. Huyu NAUTIAKASI ni mpuuzi mmoja anaitwa SHABAN RAMADHANI kasoma Zanzibar Univisity sheria, kisha ndo akaenda sweden kufanya master, ni mbaguzi ile mbaya..! We shebby acha hizo! Ni jamaa wakipemba lakini kakaa sana unguja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...