Home
Unlabelled
pinda afungua rasmi ujenzi wa chuo kikuu huria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi pinda amesahau kauli yake ya viongozi kutokuvaa suti? sasa yeye anafanyaje? hivi haelewi maneno ya kiongozi mkubwa yanaweza kuchukuliwa as precedents kisheria?
ReplyDeleteKwani hii ni blog ya vichogo tu?? Naona sioni habari za wazanzibar kabisaaa!
ReplyDeletehivi wewe anon wa pili 30 oct 8:59
ReplyDeleteunawaita nani vichogo?
shika adabu yako, heshima yako iko makalioni, na usisahau haiuzwi dukani. mijitu mingine bwana!!!!
na wewe si uianzishe ya kwako? ili uweke habari unazotaka wewe alaaa (nakufyonza)
wewe unajua kabisa Mithupu anaishi Dar, atatoa wapi hizo habari za visiwani kama wao hawazitumi kwake? Mbona watu wa Bukoba na Mtwara wasilalamike? kama una habari tuma kwa kwa Michuzi, ataiposti kama wadau wengine woote popote walipo duniani wanavyofanya.
Michuzi wewe achana na watu kama hawa hawana mpango.
Hit the road if you don,t like the way things running in this blog.
Mdau
ughaibuni
we hapo juu unaedai huoni habari za wazanzibar ati unaona vichogo tu sijui ushuzz gani fungua blog yako ya wazanzibar tu huna adabu!
ReplyDeleteHeee kwani nani vichoogo jamani sielewi?
ReplyDeletekaka wa hapo juu usikasirike sana. Huyo aliyoandika "vichogo" ni mzaliwa wa Kamachumu na kasoma shule ya msingi Mazengo , kata ya Kikuyu , kwetu Idodomile.
ReplyDeleteKama anatuita vichogo na yeye pia ni "chogo". Usihangaike na wachonganishi..
@ Nautikasi hii kali ubaguzi mpk kwenye habari! na nathani mnapoelekea nyie uliopigwa bapa nyuma mtafika karibuni ungetuambia tu Wapemba wana tofauti gani na Waunguja! maana umeanza oh Vichoho utaenda oho Wapemba weupe! Sisi tuna funguo za ghala za bunduki tunawangoja tu mlete fyokofyoko muone!
ReplyDeleteWewe unauliza habari za Zanzibar una maana gani? Inaelekea wewe una damu ya kibaguzi ya Uzanzibar na Utanganyika.
ReplyDeleteMichuzi habari anaweka kutoka kila kona ya dunia. Kwanza hivi karibuni kulikuwa na picha ya Karume akitoa kwenye mkutano wa UNESCO. Vile vile kuwalikuwa na picha ya foleni Zanzibar. Hukuona hizo au hazikuwa habari.
Acha kutoa maneno ya kibaguzi na ambayo hayana matiki.
Aaah!, mijitu yenye damu ya ubaguzi utaijua tu. Bro Misupu anajitahidi kutuhabarisha namna hii wewe unaibua mambo ya ubaguzi. Nilitegemea umlaumu Bro Michu kama asinge "post" mambo ya huko kwenu, kumbe unataka apande chombo kutafuta mambo ya mdebwedo, nauli umempa. Karne hii ya "globalism" na "globalisation" bado mna mambo ya kibaguzi!!!. Ndo maana unatokea MCHAMBAWIMA. AAh...unaudhi sana.
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha...vichogo wamekasirika hao! Sasa kama muna machogo mie niwasaidiaje?
ReplyDeleteHUYU NI FALA TU, THE OUTCAST YA WAARABU, KIJUKUU CHA WATUMWA.
ReplyDeleteNamjua "nautiakasi", mbaguzi huyo! Anatokea Pemba, kasoma UD na sasa yuko Sweden. Mahadhi acha hizo!
ReplyDeletekawaida yao hata wasomeje ustaarabu kwao ni ziro mdebwedoooooo fungua blog yako uweke ukoo wenu
ReplyDeleteWe unaetaja majina ya watu hapa nyambafu kabisa, una hakika huyo nautiakasi ndo Mahadhi? Acha kujihashuwa.
ReplyDeleteHuyu NAUTIAKASI ni mpuuzi mmoja anaitwa SHABAN RAMADHANI kasoma Zanzibar Univisity sheria, kisha ndo akaenda sweden kufanya master, ni mbaguzi ile mbaya..! We shebby acha hizo! Ni jamaa wakipemba lakini kakaa sana unguja.
ReplyDelete