SWALI: Nini kipya kipya kuhusu K-Lynn?
KYLIN: Kipya kuhusu K-Lynn ni kwamba kwa sasa nasoma kwa njia ya posta kupitia chuo kimoja kilichopo Uingereza ili niwe mbunifu wa mapambo ya ndani, pili nimekuwa niko studio kwa mwaka mzima nikitengeneza nyimbo mpya ambazo natumai nitaziachia kabla ya mwisho wa mwaka huu, pia nimeanzisha kampuni yangu ya masuala ya mapambo ya ndani ambayo inashughulika kila kitu kinachohusiana na kupendezesha ndani, ambapo nashirikiana na wataalam wengine wa fani hiyo hivyo nina mambo mengi mapya.
SWALI: Jamii inakutazamaa vipi, kutokana na umaarufu wako?
KYLIN: Umaarufu ni sawa siwezi kulalamika, nashukuru naishi katika nchi ambayo celebrity anaachiwa uhuru binafsi tofauti na nchi kama vile Marekani ambako kila kitu kuhusu maisha ya celebrity kinaandikwa kwenye magazeti ya udaku. Hivyo naweza kusema niko poa. Napenda kukutana na mashabiki wangu ambao wanapenda kazi zangu na wanakuwa motisha kwangu.

Kwa hayo na mengi mengineyo

MICHUZI KWA NINI USIKAMATE HIKI KIFAA TUNAJUA HUNA MKE NA YEYE HANA MUME?
ReplyDeleteVery Beautiful
ReplyDeleteMichuzi hana mke
ReplyDeleteHicho ni kitendawili
Wakatabahu
Nina swali nauliza hivi dada zako wako wapi wakina Jessie na Shimmi? Niliwaona wakiwa wadogo sana we ulikuwa hujazaliwa.
ReplyDeletemichuzi ana mke tena dogodogo, toto la kichaga
ReplyDelete