Karibuni sana kwenye kushehelekea Tissa Desember ya Watanzania....
Siku ya 11/12/2009 ni siku ya kuwakirisha tareh 9/desember yani hili siku ya kujenga taifa letu ya wananchi wa Kitanzania.


East Africa basi kwa mujibu wa siku hiyo ni muhimu kwetu ndo maana sisi wananchi wa Oslo Norway kwa kujiunga tumeandaa siku hiyo ya kushehelekea kwa pamoja tuifanye ndani ya Hukumbi wa
Slurpen Lakkegate skole
79b Oslo,
Norway....
Kuanzia saa 02.00 usiku mpaka mliamba,
kiingilio:- 100 kroner

tutakua na Mnuso kidogo pia....
Contact:- 988 78 361/ 96872483 Dj Uncle Pred,
Abdul or 99787554 Albin Tenga...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tissa ua tisa???

    ReplyDelete
  2. uongo kiini macho tarehe hii si siku tuliyopata uhuru,fungueni akili zenu enyii watanzania wenzangu,someni mchunguwe siku hii.Tuache kabisa tabia ya kijinga jinga kuwacha kutosoma na kuchunguza mambo kwa kina kirefu.

    mdau kutoka New York

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...