
Siku ya 11/12/2009 ni siku ya kuwakirisha tareh 9/desember yani hili siku ya kujenga taifa letu ya wananchi wa Kitanzania.
East Africa basi kwa mujibu wa siku hiyo ni muhimu kwetu ndo maana sisi wananchi wa Oslo Norway kwa kujiunga tumeandaa siku hiyo ya kushehelekea kwa pamoja tuifanye ndani ya Hukumbi wa
Slurpen Lakkegate skole
79b Oslo,
Norway....
Kuanzia saa 02.00 usiku mpaka mliamba,
kiingilio:- 100 kroner
tutakua na Mnuso kidogo pia....
Contact:- 988 78 361/ 96872483 Dj Uncle Pred,
Abdul or 99787554 Albin Tenga...
Tissa ua tisa???
ReplyDeleteuongo kiini macho tarehe hii si siku tuliyopata uhuru,fungueni akili zenu enyii watanzania wenzangu,someni mchunguwe siku hii.Tuache kabisa tabia ya kijinga jinga kuwacha kutosoma na kuchunguza mambo kwa kina kirefu.
ReplyDeletemdau kutoka New York