JK akiweka saini kitabu cha Maombolezo Nyumbani kwa Marehemu Dk. Lawrence Gama huko Mbezi beach jijini Dar aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mkuu wa JKT, Mkurugenzi Mkuu wa idara ya Usalama wa Taifa na Katibu Mkuu wa CCM na Mkuu wa Mkoa


Mwanafunzi wa Chuo cha Wanyamapori na uhifadhi, Mweka, Moshi vijijini Bi.Zawadi Mahinda akimwonesha JK mbegu ya mti aina ya Msandali wakati alipokitembelea chuo hicho jana kujionea shughuli mbalimbali za masomo na tafiti zinazofanywa chuoni hapo.



JK akimsikiliza kwa makini mwanafunzi katika chuo cha wanyamapori Mweka, Bwana Gumbo Mbelwa Mhandeni alipokuwa akitoa maelezo ya tafiti juu ya uhifadhi wa pembe za wanayama mbalimbali wakati Rais Kikwete alipokitembelela chuo hicho jana.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa. Pole sana Florah

    ReplyDelete
  2. Hizi post kama sioni kama zintakiwa kuwa merged maana sasa tutoe rambi kwa Gama au tupongeze wanafunzi wa Mweka?.

    Ok nimekumbuka, Gama alikuwa katibu mkuu mwaka 1995 wakati wa mchakato na mkuu wa chuo wa Mweka ndiye yule aliyekuwa mkurugenzi wa wanyama pori akatupiwa huko mweka baada ya kuchanganya chumvi na sukari.

    ReplyDelete
  3. Mkuu Michuzi,

    Maoni: Ungetengenisha hizi habari mbili. Ziko tofauti sana...hiyo ya Rais kutoa Rambirambi kwa familia ya Dr Gama ingestahili iwe peke yake.

    Network Engineer

    Reading, UK

    ReplyDelete
  4. Kuuliza sio ujinga:

    Hizi pembe zinahifadhiwa ili zije kufanyiwa nini baadaye?

    Ahsante

    ReplyDelete
  5. PETER NALITOLELADecember 18, 2009

    MICHUZI MBONA NIMEKWISHA TAMUKA HAKUNA HAJA YA KUSIKITIKA MUTU AKITUTOKA KWA SABABU HUKO AENDAKO NI KWENYE PUMUZIKO LA HAMANI KUNA LAHA MINGI KULIKOZA DUNIYANI. CHA MUSINGI NI KUFURAHIA MAANA HATA SISI TUNA HAMU YA KUYAHONA MAKAO YA MILELE KUHONANA NA YESU NA MUTUME MUHAMAD. SASA KWELI MASIKITIKO YA NINI MUTU HANAENDA KUKUTANA NA MOLA WAKE? JAMANI MIMI MBONA HILI SWALA LINAKUWA GUMU KWANGU KWA NINI TUNAWAPA PORE WAFIWA? HAMA SISI ATUTA KUFA? JAMANI TUANZE KUPEYANA MOYO WENZETU WANAPO HONDOKA HILI NA SIS TUJIHANDYE KWA MAKINI NA FURAHA KULIKO KUKATISHIHANA TAMAHA ZA BURE BURE NDUNGU ZANGU WANYA BLOGS WOTE DUNIYANI. MIMI NILIPEYANA MOTISHA SANA MUZUMBE MPAKA NIKABATIZWA JINA LA KAMUZU BANDA DEEP THINKER WENGINE ST. ANTONY MBAGALA NIKIWA HIGH LEVEL WAKAWA WANANIHITA STORMING MY BRAIN.

    ReplyDelete
  6. Mbona haya ni matukio 2 tofauti?

    ReplyDelete
  7. mbona mtoaji zawadi hapo juu amefanana na raisi wenu au mnasemaje wadau?

    ReplyDelete
  8. Hi Iam so sorry! for The lost of our beloved, father. Florah Nowera Mother, and everyone on Gama family and all friends of Gama. My prayers for you all. God bless much Love. A L G. Pemberton. Xxx

    ReplyDelete
  9. GAMA KATANGULIWA MBELE ZA MUNGU, OO POLENI SANA.MZEE MTAZAMA GWIJI LA SIASA ZA SONGEA MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...