Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Home
Unlabelled
JK aomboleza kifo cha Gama, atembelea mweka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni sana wafiwa. Pole sana Florah
ReplyDeleteHizi post kama sioni kama zintakiwa kuwa merged maana sasa tutoe rambi kwa Gama au tupongeze wanafunzi wa Mweka?.
ReplyDeleteOk nimekumbuka, Gama alikuwa katibu mkuu mwaka 1995 wakati wa mchakato na mkuu wa chuo wa Mweka ndiye yule aliyekuwa mkurugenzi wa wanyama pori akatupiwa huko mweka baada ya kuchanganya chumvi na sukari.
Mkuu Michuzi,
ReplyDeleteMaoni: Ungetengenisha hizi habari mbili. Ziko tofauti sana...hiyo ya Rais kutoa Rambirambi kwa familia ya Dr Gama ingestahili iwe peke yake.
Network Engineer
Reading, UK
Kuuliza sio ujinga:
ReplyDeleteHizi pembe zinahifadhiwa ili zije kufanyiwa nini baadaye?
Ahsante
MICHUZI MBONA NIMEKWISHA TAMUKA HAKUNA HAJA YA KUSIKITIKA MUTU AKITUTOKA KWA SABABU HUKO AENDAKO NI KWENYE PUMUZIKO LA HAMANI KUNA LAHA MINGI KULIKOZA DUNIYANI. CHA MUSINGI NI KUFURAHIA MAANA HATA SISI TUNA HAMU YA KUYAHONA MAKAO YA MILELE KUHONANA NA YESU NA MUTUME MUHAMAD. SASA KWELI MASIKITIKO YA NINI MUTU HANAENDA KUKUTANA NA MOLA WAKE? JAMANI MIMI MBONA HILI SWALA LINAKUWA GUMU KWANGU KWA NINI TUNAWAPA PORE WAFIWA? HAMA SISI ATUTA KUFA? JAMANI TUANZE KUPEYANA MOYO WENZETU WANAPO HONDOKA HILI NA SIS TUJIHANDYE KWA MAKINI NA FURAHA KULIKO KUKATISHIHANA TAMAHA ZA BURE BURE NDUNGU ZANGU WANYA BLOGS WOTE DUNIYANI. MIMI NILIPEYANA MOTISHA SANA MUZUMBE MPAKA NIKABATIZWA JINA LA KAMUZU BANDA DEEP THINKER WENGINE ST. ANTONY MBAGALA NIKIWA HIGH LEVEL WAKAWA WANANIHITA STORMING MY BRAIN.
ReplyDeleteMbona haya ni matukio 2 tofauti?
ReplyDeletembona mtoaji zawadi hapo juu amefanana na raisi wenu au mnasemaje wadau?
ReplyDeleteHi Iam so sorry! for The lost of our beloved, father. Florah Nowera Mother, and everyone on Gama family and all friends of Gama. My prayers for you all. God bless much Love. A L G. Pemberton. Xxx
ReplyDeleteGAMA KATANGULIWA MBELE ZA MUNGU, OO POLENI SANA.MZEE MTAZAMA GWIJI LA SIASA ZA SONGEA MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.
ReplyDelete