Mdau Tuli Salome Kalobo mara baada ya kula Nondozzz yake ya Bachelor of Biomedical Science kakika Chuo Kikuu cha University of Newcastle Australia.
Tuli akiwa na rafiki zake mara baada ya kula Nondozzz yake.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Kweli mla mla leo ....... hongera dada yangu kwa kumaliza chuo tena hongera sana maana akina dada zetu wapo tele bongo hapa hawana lolote kufanikiwa kwako huenda ikawa safari kwa wengine.

    ReplyDelete
  2. she is pretty

    ReplyDelete
  3. Hongera Tuli, Safari ni hatua.....
    Umekuwa mkubwa sasa, enzi zile ukija na Mama pale Chaibora ukiwa kinda. Mola akujalie kila lililo jema,(Billy)

    ReplyDelete
  4. suali: degree ya biomedical science unategemea kazi gani tanzania? huku nje ni ngumu!

    ReplyDelete
  5. She is cute.

    Hongera sana kaza buti.

    ReplyDelete
  6. hongera sana TULI jamani umekuwa hivyo ulivyokuwa ukija dukani pale kwa luisi upanga!! hee kama wewe umekuwa hivyo basi Tuga naye si atakuwa mzee sasa, namimi ndio kabisaaa maana unazaliwa nilikuja kwamama mwakalobo kukuangalia mchangaaa!!!

    ReplyDelete
  7. Kuna mdau ameuliza degree ya Biomedical Science atafanya kazi gani Bongo jibu n i kwamba atafanya kazi ya maabara katika Hospitali

    ReplyDelete
  8. Hongera kisura. Kumbe huyu ni mdogo wake Tuga, itabidi niwasiliane naye. Tuga tegemea simu kutoka kwangu.

    ReplyDelete
  9. hongera sana

    ReplyDelete
  10. kumjibu anony wa: Tarehe Sat Dec 19, 11:53:00 AM...

    Biomedical Science ni degree yenye soko kubwa tu duniani kote. Hapo bongo mnahitaji ujuzi wa huyu binti, hasa hasa watu wa NIMR (National Institute of Medical Research), Muhimbili, Abbott Labs, World Health Organization etc Nimefurahi kuona tunapata watu wanaosoma field ambazo sio MD kwani TZ mtu ukisoma PCB basi lazima uwe daktari. Tunahitaji watu watakaohusika na kuvumbua tiba na kutatua matatizo ya afya ambao sio madaktari. Innovation and invention depends on ppl like this graduate. Hongera tena dadaa, sasa tunasubiri PhD katika Molecular Oncology au Virology

    mdau

    ReplyDelete
  11. Hongera dada yangu safari ni hatua.

    mdau wa Ipinda Lusungo Kyela

    ReplyDelete
  12. hongera sana dada wa watu tuli kweli umejitahidi saaaaana hongera sana

    ReplyDelete
  13. Hii nimeikubali, hongera sana na mandhari ya maafari ipo inaonekana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...