


Winchi ya kampuni ya TRL ikiwasili hivi punde sehemu za Mkuyuni kwa ajili ya kunyanyua injini ya treni ya mizigo iliyoanguka mapema asubuhi. Taswira za juu zinaonesha wafanyakazi wa kampuni ya TRL wakichakarika kuiinua injini iliyoacha njia na kuanguka eneo la Mkuyuni jana
MIZIMU UWANJA WA NDEGE JKN. soma hapa http://groups.google.com/group/wanabidii/browse_thread/thread/a1b3cbd69554b1c?hl=sw
ReplyDeletekak hapa nilidhani unamaanisha wichi lichawi,sorry
ReplyDeleteI like the greenish there, and the soil is so beautiful for farming.
ReplyDeletesasa mkuyuni ni wapi? ni Tz?
ReplyDeletemakuyuni kitaa changu hicho majengo ndani pale hapo ni tz njia ya arusha mkoani tanga kati ya korogwe na mombo
ReplyDelete