Injini ya treni iliyokula mwereka ikiibuliwa
Winchi ya kampuni ya TRL ikiwasili hivi punde sehemu za Mkuyuni kwa ajili ya kunyanyua injini ya treni ya mizigo iliyoanguka mapema asubuhi. Taswira za juu zinaonesha wafanyakazi wa kampuni ya TRL wakichakarika kuiinua injini iliyoacha njia na kuanguka eneo la Mkuyuni jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. MIZIMU UWANJA WA NDEGE JKN. soma hapa http://groups.google.com/group/wanabidii/browse_thread/thread/a1b3cbd69554b1c?hl=sw

    ReplyDelete
  2. kak hapa nilidhani unamaanisha wichi lichawi,sorry

    ReplyDelete
  3. I like the greenish there, and the soil is so beautiful for farming.

    ReplyDelete
  4. sasa mkuyuni ni wapi? ni Tz?

    ReplyDelete
  5. makuyuni kitaa changu hicho majengo ndani pale hapo ni tz njia ya arusha mkoani tanga kati ya korogwe na mombo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...