hii ni jioni ya leo ambapo twanga pepeta na msondo ngoma hukamilisha ratiba zao za wiki kutumbuiza katika bonanza la michezo na muziki chini ya udhamini wa kilaji cha Kilimanjaro cha TBL, ambapo kila jumapili kunakuwa na hili bonanza. kiingilio ni bure
wadau katika bonanza
jamhuri kihwelo 'julio' ni mmoja wa wakulu wa bonanza hili



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Huyu julio si muislamu? Mbona anakunywa pombe? Natamani apewe timu ya taifa baada ya Maximo.

    ReplyDelete
  2. Uzuri wa umasikini ni kujirusha. Hata kama hunakitu lakini ngoma tangu enzi na enzi tunaenda siunjau raha kujipipa mwenyewe....Papa Pizzaro wa Bonanza upo?

    ReplyDelete
  3. Michuzi uwe una tupa za bonaza kila wiki tutashukuru sana ....

    ReplyDelete
  4. bela va kuboma (kihwelo)kamwene
    vee u mkwamisi kabisaa,,,winywa kiki ichoo???

    ReplyDelete
  5. Wewe Anon wa kwanza umeona pombe unashangaa!! ukipelekwa kwenye kiti moto na ukaonyeshwa si utazimia? dini ipo moyoni kwa mtu na wala si kikundi cha watu.

    ReplyDelete
  6. Dah! naona Twanga pepeta wako juu sana of late.Umati wote huo!!!. Msibweteke -keep it up vijana

    ReplyDelete
  7. Kaka Michuzi uwe unatuwekea matukio ya leaders club kila weekend, binafsi nafarijika sana nikiona viwanja vya nyumbani kama hivi.

    ReplyDelete
  8. Nipe five anony wa tano, hata hivyo huyo anony wa kwanza katika waislam wote wanaokunywa pombe huyo Julio ndio kamshangaza..acha zako wewe raha unajipa mwenyewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...