Home
Unlabelled
HEPI BESDEI YA KUZALIWA SALMA NA HALIMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tafadhali sana sisi kama Tanzania lazima tujue kuongea kiswahili fasaha, hapo bwana michuzi ulitakiwa kuandika sikukuu ya kuzaliwa,na siyo hepi besdei,hatuna hepi besdei kwenye kamusi yetu ya kiswahili.
ReplyDeletejamani happy belated birthday to you all..Achaneni na huyo hapo juu sijui hakulala au hajala mchana...Mmependeza wenyewe... I hope you guys had a happiest of birthdays and may your next birthday find you the same
ReplyDeleteglowing from within.......
we mtoa maoni hapo juu acha hizo kwani we hujui kuwa kuna kiswahili fasaha ,isimu lahaja, cha mitaani na cha maeneo fulanifulani pia siku hizi kuna "KISWAKINGE" mbona hujawahi kumuuliza issah kwa mfano Akiandika msongamano ktk barabara ya ocean road au tulipata dinner la mchana na wadau kadhaa
ReplyDelete