HABARI MR MICHUZI,
TAREHE 11.1.2010 ILIKUWA HEPIBESDEI YA MABINTI ZANGU WAPENDWA - SALMA AMBAYE KATIMIZA MIAKA 8 NA MDOGO WAKE HALIMA AMBAYE KATIMIZA MIAKA 2. NAWATAKIA MAISHA MEMA MUNGU AWAPE KILA LA KHERI.
MDAU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. tafadhali sana sisi kama Tanzania lazima tujue kuongea kiswahili fasaha, hapo bwana michuzi ulitakiwa kuandika sikukuu ya kuzaliwa,na siyo hepi besdei,hatuna hepi besdei kwenye kamusi yetu ya kiswahili.

    ReplyDelete
  2. jamani happy belated birthday to you all..Achaneni na huyo hapo juu sijui hakulala au hajala mchana...Mmependeza wenyewe... I hope you guys had a happiest of birthdays and may your next birthday find you the same
    glowing from within.......

    ReplyDelete
  3. we mtoa maoni hapo juu acha hizo kwani we hujui kuwa kuna kiswahili fasaha ,isimu lahaja, cha mitaani na cha maeneo fulanifulani pia siku hizi kuna "KISWAKINGE" mbona hujawahi kumuuliza issah kwa mfano Akiandika msongamano ktk barabara ya ocean road au tulipata dinner la mchana na wadau kadhaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...