Home
Unlabelled
bi. jamillah awakawaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hao Wanaume wawili ninaowaona hapo wanafanya nini katika shughuli ya wanawake? Lol!! Mbona balaa!!
ReplyDeleteMi hata siwaelewi wallah...
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeletenibandie hii, email yako inagoma.
Nimeshuka airport juzi nikakutana na mambo 2 ambayo nataka wadau wengine wanishauri ingawa imekua ikirudiwa mara kadha wa kadha hapa:
1. Begi langu lilikua na wraping hivyo nikaambiwa nilifungue. nilifungua lakini vitu vyote ni vya kwangu naenda kutumia nyumbani kwangu. Hivi natakiwa nichajiwe kodi?
2.Nilipomalizana na ukaguzi (sikukubali kulipa), nilisogea mlangoni ili sasa nikutane na familia yangu kwa ajili ya mahug lakini nkakutana na watu 4 wamesimama mstari mmoja. Mmojawao akaniambia 'hebu tuone passport yako'. Hapa ndio nataka niulize maswali zaidi. Hivi hawa wanauliza umekwenda nje kufanya nini ni kazi yao? vitambulisho vyao vilikua vimegeuzwa si rahisi kuona jina, je si haki yangu kukataa kumpa pasi yangu kama sioni kitambulisho chake? Mmoja wao alinitishia eti yeye anafanya kazi serikalini hivyo anaweza hata kunichelewesha nisitoke pale, je haki yangu iko wapi? Kwa kutambua kuwa serikali yetu inapiga sana kelele na customer service mbovu, naomba mnipe ushauri wa busara nifanye nini maana watu wa namna hii hawatakiwi kabisa ku-face customers ndio wanaorudisha nyuma image yetu tuanonekana hovyo kumbe ni mijitu ambayo imeajiriwa kibahati, haina hata uchungu na nchi kazi njaa tu. walikuwepo watu 4 na kati yao namkumbuka mtu 1 aliyenisumbua sana na kunitukana, wenzake 3 walikua kimya waliona mwenzao keshakosea step.
kaka, sasa kama ni kitchen part hao watoto wa kiume inawahusu?
ReplyDeleteMichu huyu ni Jamillah (meaning Beautiful). Sasa hilo la Nana Daudi tena linatoka wapi?. Au ndiyo mapenzi hayana dini?.
ReplyDeletejamani, kuna picha naona wanaume, wamefuata nini kwenye kitchen party? naomba msaada au siku hizi wanaume pia wanahudhuria kitchen party?
ReplyDeleteHii ni kitchen party au send-off? Mbona kuna wanaume humo? halafu bi harusi jamani kwann wamennga na hiyo nguo? maana hata sura haonekani wala shepu. mama mzaa chema alipendeza na wageni waalikwa walipendeza pia ila nguo ya bi harusi ni big noo amepooza kwa kweli wakati she is very beatiful kabla ya hayo marembo ya usoni.
ReplyDeleteNO COMMENT
ReplyDeletejamani hawa warabu ama au mahafcasti mmoja kwa kenda kwa sandoz rangi ya upsteers na dowwn azi much whaz happen any way simba oyeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteyaani wamemvalisha hata mask? helloween party? she is so cute but wamekosea kumpamba bwana, hilo joo wala.
ReplyDelete24/7 starehe....tuseme bong LASVEGAS miundo mbinu tutakuwa nayo kweli
ReplyDeletedracula?
ReplyDeleteHuyo kaka mwenye shati ya mistari ukiikua hiyo picha ndio utaona vizuri vidole vyake pete alizovaa na jinsi alivyopozi, kisha utajaza mwenyewe kama alistahili au hakustahili kuhudhuria hiyo pati ya kuku (chicken party)
ReplyDeletehao wanaume ni ma bwana harusi na nyie wabongo wambea!
ReplyDeleteMichuzi, sio "chiken party" ni "kitchen party".
ReplyDeleteAlafu hizo ndume mbili zinatafuta nini kwenye hii shughuli ambayo inajulikana wazi ni shughuli ya kina mama pekee?
Ndugu zangu inategemea kitchen party inafanywa na familia gani, inafanyika wapi,lakini kwa kifupi tu siku hizi kuna kitchen party nyingiiiiii wanaume wanakuwepo, na kwa taarifa yenu wakiwepo wanaume ni wazungumzaji wazuriiiiii sanaaaa, na wanoangea vitu na mambo ya maana kuliko wanawake. Tena bora waongee wao wammambie bibi harusi mwanamume anataka nini katika ndoa. Kwa hiyo msishangae kuwepo wanaume ni kitu cha kawaidaaaaaaaa mambo msetoooooo
ReplyDeletemmh jamani hii kiboko hata kama ni bwana harusi kwenye kichen pati hatakiwi kuingia ukumbini ndani utakaa huko nje kama umemmisi sana mkeo mtarajiwa basi akitoka unae,
ReplyDeletena hii style ya ninja nayo kiboko utafikiri mwarabu wa jangwani originali wamarekani wamemuona huyo au bado wanambwelambwela tu
habari kamili ya hii shughuli mwende http://www.8020fashions.blogspot.com ni balaa pambe la nguvu, kweli bongo tambarare
ReplyDeleteUkumbi umependeza mnoooooooooooooo na sherehe nzuri sana!
ReplyDeleteJamani mnawakomalia hao watu mbona michuzi hamumsemi? unafikiri alipata wapi picha hizi?
ReplyDeleteDuh, kweli bongo tambarare. Mwanangu si mchezoooooooooooo, Jamila uko juu wewe na familia yako.mimi mwenyewe nikipata harusi uongo nitawaita mnisaidie kuandaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteRed ni kiboko mmenifanya niipende na bi Harusi amevaa unique dresss, excellent choice!!
jamani huyo wa juu kabisa bro! masoud wa kariako mtaa kongo, yeye ni mwenyekiti wa kamati nzima inayosimamia harusi nikimaanisha, reception, ndoa na kitcheni party kwa lazima awepo pale kihakikisha mambo yote yanakwenda sawa!, na cha ajabu ni kitu gani haswa na huyo mwingine ni muimba taarabu wa melody hamjui???? mzuka ukimpanda anacheza babu ah1 ah!, hapo melody walikuwa wanakwenda live jamani mbona wanaume wengi tu ciku hizi kwenye k-party??? mwali anafundwa kwenye unyago chumbani tena watu hawaingii kabisa ispokuwa manyakanga sio kwenye k-party hiyo ni shughuli tu ya kufurahi tu babu
ReplyDeleteannon 10:46:00 AM
ReplyDeleteyani nimepitia apo 8020 blogu,,,kwi kwi kwi haaaa kweli bongo tambarare sasa ndo nini jamani?izi mila za kigeni izi??
katoka kijangwani-jangwani toto la watu
hahahahaaaaa