wanakuletea
Charanga Nite
Leo February 17, 2010 kuanzia saa moja jioni
Savannah Lounge ya Paradise City hotel
(Ghorofa ya 3 Benjamin William Mkapa Towers - Zamani Mafuta House)
Azikiwe Street
Dar es salaam.
Zawadi kutolewa kwa wataocheza vizuri
KIINGILIO MGUU WAKO
YAANI BUREEEEE!



Kaka Mithupu!
ReplyDeleteHapo umenigusa mimi na wenzangu kwa sana.Tunatamani sana tungekuwepo Dar leo lakini huku tunduru sijui tutafikaje. Tunawatakia kheri woote kwa onesho hilo. tunaomba hata ka clip tujipe raha hapo kesho
teh hapa ni kukaaga mkao wa kula tu teh teh!!!
ReplyDeleteMdau wa Pajazzzz+titizzzz
Brother Michuzi na da Asia, sasa tangazo si mngetoa siku mbili tatu kabla ya tukio? Next time tustuane mapema.
ReplyDeletet.