Home
Unlabelled
charanga nite yahamia regency park hotel mikocheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa wanafanya kazi?
ReplyDeleteBongo tambarare.
una maanisa nini annon #1???!!!
ReplyDeletehueleweki
hiyo sakafu na charanga hatuwezi kuacha soli za viatu hapo
ReplyDeleteit's been long time man. naona leo umenikumbuka, pajazzz zimetulia hizi, dah nlikula mboga aina moja wiki nzima!!!!
ReplyDeleteMdau wa pajazzzz+titizzzz
nadhani anamaanisha watu wanauzuria hiyo shughuli jtano, wakati alhamisi wanatakiwa kuwa kazi. kweli bongo tambarare.
ReplyDeleteShamim nakuona hapo, unanikumbusha enzi za Africana, huyo unayecheza nae ni chananga?, naona kaficha uso.
ReplyDeleteMdau mkoba kigoti Helsinki
From Gerezani Hood.
mi naona wanaendesha baiskeli tu hapo,charanga ndio iko hivyo
ReplyDeleteAina ya nyimbo inayopiga kwenye video clip sio CHARANGA bali ni BACHATA aina ya muziki kutoka kwa wabeba mabox maarufu hapa Marekani aka Wachicano aka Wamexico.
ReplyDeleteI watched the video clip and got confused. Hivi charanga ndio salsa? If so, then song and even the dancing was not salsa. I am a great fan of salsa and event paid take up some salsa dancing lessons, but I have to be honest I did not see salsa. Check out this one http://www.youtube.com/watch?v=gNni_Rt0fj4
ReplyDeleteNimetafuta kasoro lakini nimekosa. Shamim has the Perfect female Form.
ReplyDelete