Da' Shamim akiyarudi macharanga na mdau usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Regency Park, Mikocheni, jijini. Awali Charanga Nite ambalo huandaliwa na MichuziBlog na Fabak Fashions kila Jumatano, lilikuwa katika hoteli ya Paradise City lakini kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, ikiwa ni pamoja na Savannah Club kuwa na hafla mbalimbali siku hiyo, Charanga Nite sasa imehamia hapo Regency Park na kiingilio ni kile kile tu - mguu wako
wadau wakicheza salsa usiku wa Macharanga Nite Regency Park hotel.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hawa wanafanya kazi?

    Bongo tambarare.

    ReplyDelete
  2. una maanisa nini annon #1???!!!

    hueleweki

    ReplyDelete
  3. hiyo sakafu na charanga hatuwezi kuacha soli za viatu hapo

    ReplyDelete
  4. it's been long time man. naona leo umenikumbuka, pajazzz zimetulia hizi, dah nlikula mboga aina moja wiki nzima!!!!

    Mdau wa pajazzzz+titizzzz

    ReplyDelete
  5. nadhani anamaanisha watu wanauzuria hiyo shughuli jtano, wakati alhamisi wanatakiwa kuwa kazi. kweli bongo tambarare.

    ReplyDelete
  6. Shamim nakuona hapo, unanikumbusha enzi za Africana, huyo unayecheza nae ni chananga?, naona kaficha uso.

    Mdau mkoba kigoti Helsinki
    From Gerezani Hood.

    ReplyDelete
  7. mi naona wanaendesha baiskeli tu hapo,charanga ndio iko hivyo

    ReplyDelete
  8. Aina ya nyimbo inayopiga kwenye video clip sio CHARANGA bali ni BACHATA aina ya muziki kutoka kwa wabeba mabox maarufu hapa Marekani aka Wachicano aka Wamexico.

    ReplyDelete
  9. I watched the video clip and got confused. Hivi charanga ndio salsa? If so, then song and even the dancing was not salsa. I am a great fan of salsa and event paid take up some salsa dancing lessons, but I have to be honest I did not see salsa. Check out this one http://www.youtube.com/watch?v=gNni_Rt0fj4

    ReplyDelete
  10. Nimetafuta kasoro lakini nimekosa. Shamim has the Perfect female Form.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...