Mwanamitindo wa kitanzania aliyetuwakilisha katika maonyesho ya "KHANGA -MADE IN TANZANIA" katika COPENHAGEN INTERNATIONAL FASHION WEEK -BELLA CENTER Chichia Mhando amewashukuru watanzania wote na mashirika ya kimataifa yaliyoichagua Tanzania kuwepo katika maonyesho ya CIFF kwa kuiletea sifa na matokeo mazuri ya utamaduni wa vazi la mitindo ya khanga kutoka Tanzania.www.chichialondon.com
baadhi ya viwalo vya khanga vya chichia kwenye tamasha hilo



HONGERA CHICHIA.JE BONGO UNA DUKA WAPI?NIMEPENDA PRODUCTS ZAKO.KEEP IT MADAM
ReplyDeleteHongera sana binti, endelea kupepea bendera ya TZ huko ughaibuni. Huu ndio udesigner, sio mtu unachapisha t-shirt zako na logo nzuri unajidai designer...nani kakwambia kuwa na logo kunakufanya wewe designer! watu walionda shule utawajua tu. Hongera sana Chichi.
ReplyDeletechichialondon.com then made in tanzania???!!!it doesnt add up. Why not chichiakisarawe made in tanzania? need to be focus
ReplyDeleteChichia was born in Tanzania (aka MADE in Dar) and grew up in London. That adds up just fine to me... maybe the above commentor need to "focus" and do some research first... Anyway hongera sana dada, nguo safi sana. Kweli Duka wapi hapa Bongo?
ReplyDeletekupata ushauri ni kitu kizuri tu sasa km kazaliwa bongo na kukulia london,why not chichiadodoma.com???
ReplyDeleteutukuze ukwenu kwa sana ili watu wasipate maswali km aya,,,
ila kazi yako nzuri sana napenda sana watu wanaotukuza vya kwao asa madizaina,,,khanga ni asili yetu kabisaaaa
tupe mawasiliano BONGO una duka???
Ndugu yangu wewe ni balozi mwema wa Tanzania. hongera
ReplyDelete