Mwanamitindo wa kitanzania aliyetuwakilisha katika maonyesho ya "KHANGA -MADE IN TANZANIA" katika COPENHAGEN INTERNATIONAL FASHION WEEK -BELLA CENTER Chichia Mhando amewashukuru watanzania wote na mashirika ya kimataifa yaliyoichagua Tanzania kuwepo katika maonyesho ya CIFF kwa kuiletea sifa na matokeo mazuri ya utamaduni wa vazi la mitindo ya khanga kutoka Tanzania.
www.chichialondon.com

baadhi ya viwalo vya khanga vya chichia kwenye tamasha hilo

made in Tanzania
Chichia akiwa na wadau




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. HONGERA CHICHIA.JE BONGO UNA DUKA WAPI?NIMEPENDA PRODUCTS ZAKO.KEEP IT MADAM

    ReplyDelete
  2. Hongera sana binti, endelea kupepea bendera ya TZ huko ughaibuni. Huu ndio udesigner, sio mtu unachapisha t-shirt zako na logo nzuri unajidai designer...nani kakwambia kuwa na logo kunakufanya wewe designer! watu walionda shule utawajua tu. Hongera sana Chichi.

    ReplyDelete
  3. chichialondon.com then made in tanzania???!!!it doesnt add up. Why not chichiakisarawe made in tanzania? need to be focus

    ReplyDelete
  4. Chichia was born in Tanzania (aka MADE in Dar) and grew up in London. That adds up just fine to me... maybe the above commentor need to "focus" and do some research first... Anyway hongera sana dada, nguo safi sana. Kweli Duka wapi hapa Bongo?

    ReplyDelete
  5. kupata ushauri ni kitu kizuri tu sasa km kazaliwa bongo na kukulia london,why not chichiadodoma.com???

    utukuze ukwenu kwa sana ili watu wasipate maswali km aya,,,

    ila kazi yako nzuri sana napenda sana watu wanaotukuza vya kwao asa madizaina,,,khanga ni asili yetu kabisaaaa

    tupe mawasiliano BONGO una duka???

    ReplyDelete
  6. florian rweyemamuFebruary 20, 2010

    Ndugu yangu wewe ni balozi mwema wa Tanzania. hongera

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...