Wadau namfuta classmate wangu, kwa jina anaitwa Ntiga Joseph, tulisoma wote Jitegemee o-level na high-level miaka ya 90. Tangu tumalize shule mawasiliano yamekuwa magumu. Last time niliambiwa alikuwa University of Dar, sijapata tena habari zake. Kama kuna mtu ana mawasiliano na huyu bwana naomba anipe contact zake au awasiliane na mimi. Nitashukuru

Mimi
Mdau J Makwanga
jmakwanga@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Naona watu wa ECA mnatafutana kwenye blog, vipi ndio mnatafuta wanachama wa CCJ nini :)? Samahani binafsi sijui Ntiga yupo wapi kwa sasa, nami pia nilisikia kuwa alikuwa hapo UDSM miaka hiyo, labda ujaribu kuangali kwenye facebook Jitegemee group unaweza kumbahatisha kama ni member.
    Mdau
    Dennis Londo (HGE - 1999)

    ReplyDelete
  2. Dennis, ni kweli inawezekana CCJ inahitaji watu kwahiyo washikaji wanatafutana ili kuchukua nafasi mapema....

    Nilisoma Jitegemee ila miaka ya 2000...

    ReplyDelete
  3. m namtafuta kijana mmoja anaitwa abdalla kilawi huyu dogo sijuhi kapotea wapi?

    ReplyDelete
  4. lo huyu jamaaa mimi nilikuwa namsikiaga nikiwa nikoF 2 yeye alikuwa f4..nilikuwa namsikia wanamwita NTIGA LEE pale jitegemee...ukimpata joshi atajuwa alipo......na mimi namtafuta MWL WAJADI A.K.A masigara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...