Wadau namfuta classmate wangu, kwa jina anaitwa Ntiga Joseph, tulisoma wote Jitegemee o-level na high-level miaka ya 90. Tangu tumalize shule mawasiliano yamekuwa magumu. Last time niliambiwa alikuwa University of Dar, sijapata tena habari zake. Kama kuna mtu ana mawasiliano na huyu bwana naomba anipe contact zake au awasiliane na mimi. Nitashukuru
Mimi
Mimi
Mdau J Makwanga
jmakwanga@yahoo.com
jmakwanga@yahoo.com


Naona watu wa ECA mnatafutana kwenye blog, vipi ndio mnatafuta wanachama wa CCJ nini :)? Samahani binafsi sijui Ntiga yupo wapi kwa sasa, nami pia nilisikia kuwa alikuwa hapo UDSM miaka hiyo, labda ujaribu kuangali kwenye facebook Jitegemee group unaweza kumbahatisha kama ni member.
ReplyDeleteMdau
Dennis Londo (HGE - 1999)
Dennis, ni kweli inawezekana CCJ inahitaji watu kwahiyo washikaji wanatafutana ili kuchukua nafasi mapema....
ReplyDeleteNilisoma Jitegemee ila miaka ya 2000...
m namtafuta kijana mmoja anaitwa abdalla kilawi huyu dogo sijuhi kapotea wapi?
ReplyDeletelo huyu jamaaa mimi nilikuwa namsikiaga nikiwa nikoF 2 yeye alikuwa f4..nilikuwa namsikia wanamwita NTIGA LEE pale jitegemee...ukimpata joshi atajuwa alipo......na mimi namtafuta MWL WAJADI A.K.A masigara
ReplyDelete