OCG akitesa kwenye International Black & White Party iliyofanyika Tampere, Finland 11 Feb 2010 kwenye club ya ONNELA. Onnela ndio the biggest night club in the city and the best night club for the year 2009/2010.This is the Link for Onnela Tampere, click on the pictures to see for yourself
http://parasta.brd.fi/onnela-tampere/galleria/
Ingawa wengi wao hawaelewi lugha yetu lakini walicheza na kupiga kelele sana tu Matukio ukitaka picha zaidi, fuata link hii
http://www.facebook.com/album.php?aid=146315&id=216717603137&ref=mf
BIG UP OCG!
Mdau Tampere
wadau wa tampere wakifurahia mambo ya OCG
ukumbi mzima ukiwa umepagawishwa na OCG


inamaana huo ukumbi namba moja wa tampere watu wanavaa hadi skafu inaonekana unabaridi sana hauna hata vileta joto?Hongera Ocg.sorry that was launching ya wimbo rafiki au launching ya album Misokia maana habari haijajitosheleza.
ReplyDeleteHongera Menard kwa kuinua vijana huko tampere..nasikitika nimemiss hiyo fest afrika safari hii lazima nije next time
Michuzi wewe kama mwadishi mbona unaandika kiswahili hiki kibovu cha (nyimbo hii)kwani mbon ahusemi wimbo?hilo ni swali tuu
ReplyDeletekazi nzuri..kamua OCG ..tupo pamojah
ReplyDeletedu wabongo tunatisha kwa kwenda majuu naona tunawapita wanaijeria na wahindi mi nilifikiri finland hamna wabongo,sasa huko cjui dili ni nini,nakumbika secondary geography kilimo cha matunda finland napata idea kwamba mnachuma matunda huko
ReplyDeletengasa ambrose niandikie lee.monica85@yahoo.co.uk
ReplyDeleteTonny naona umekuwa Wile myupu au Judy...hongera sana, keep pushin the envelop!
ReplyDeleteMDAU WA LINIWISI,USA.