OCG akitesa kwenye International Black & White Party iliyofanyika Tampere, Finland 11 Feb 2010 kwenye club ya ONNELA. Onnela ndio the biggest night club in the city and the best night club for the year 2009/2010.

This is the Link for Onnela Tampere, click on the pictures to see for yourself
http://parasta.brd.fi/onnela-tampere/galleria/

Ingawa wengi wao hawaelewi lugha yetu lakini walicheza na kupiga kelele sana tu Matukio ukitaka picha zaidi, fuata link hii
http://www.facebook.com/album.php?aid=146315&id=216717603137&ref=mf
BIG UP OCG!
Mdau Tampere

wadau wa tampere wakifurahia mambo ya OCG
ukumbi mzima ukiwa umepagawishwa na OCG


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. inamaana huo ukumbi namba moja wa tampere watu wanavaa hadi skafu inaonekana unabaridi sana hauna hata vileta joto?Hongera Ocg.sorry that was launching ya wimbo rafiki au launching ya album Misokia maana habari haijajitosheleza.

    Hongera Menard kwa kuinua vijana huko tampere..nasikitika nimemiss hiyo fest afrika safari hii lazima nije next time

    ReplyDelete
  2. Michuzi wewe kama mwadishi mbona unaandika kiswahili hiki kibovu cha (nyimbo hii)kwani mbon ahusemi wimbo?hilo ni swali tuu

    ReplyDelete
  3. kazi nzuri..kamua OCG ..tupo pamojah

    ReplyDelete
  4. du wabongo tunatisha kwa kwenda majuu naona tunawapita wanaijeria na wahindi mi nilifikiri finland hamna wabongo,sasa huko cjui dili ni nini,nakumbika secondary geography kilimo cha matunda finland napata idea kwamba mnachuma matunda huko

    ReplyDelete
  5. ngasa ambrose niandikie lee.monica85@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  6. Tonny naona umekuwa Wile myupu au Judy...hongera sana, keep pushin the envelop!

    MDAU WA LINIWISI,USA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...