Mganga Mkuu wa Kituo cha afya cha Namtumbo,Dr Ernest Malekela akipokea sehemu ya msaada wa vyandarua toka kwa maafisa wa NMB
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano benki ya NMB Shy-Rose Bhanji akimkabidhi sehemu ya msaada wa magodoro Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Namtumbo Dr Ernest Malekela, ikiwa ni msaada toka benki ya NMB. Kushoto ni Meneja wa NMB tawi la Namtumbo Mwinyi Khatib na Meneja wa NMB Kanda ya Kusini Thomas Kilongo.
Meneja wa NMB tawi la Namtumbo Bw. Mwinyi Khatib akitoa pole kwa baadhi ya wagonjwa waliofika kupata matibabu katika kituo hicho.


enyi viongozi wetu walafi.... tunaomba saaaana hiyo misaada iwafikie walengwa kama ilivyokusudiwa na sio muitoe kwa upendeleo na manyanyaso kama vile nyio ndo mliotoa
ReplyDeleteHizi ni pesa zetu walipa kodi so tunaomba tutendewe haki kwani NMB too much kupendelea sehemu za kupeleka hiyo misaada.
ReplyDeleteVijana tuamke wafanyakazi maofisini tunatozwa kodi nyingi na TRA (Tax) lakini muwekezaji anapewa msamaha wa kodi kwa vitu anavyoingiza nchini'' hivi bado tunafanywa wajinga huku tunapiga kura kuchagua viongozi wanaotunyonya watu wa hali ya chini.
Kweli kwa nini hili lisilalamikiwe JAMANI HEBU KAKA MICHUZI SAMAHANI KWA USUMBUFU NAOMBA HII SWALA TULIANGALIE KUPITIA HII BLOG YA JAMII.
BY MKEREKETWA
hongereni sana nmb kwa misaada kwa jamii. kila leo mko maeneo tofauti tofauti, hadi kusini mmefika? niwapongeze tu kwani tandahimba kunahitajika sana misaada ni wilaya ambayo iko pembezoni kweli mwa nchi.
ReplyDeletesafi sana nmb kwa kufika mpaka namtumbo. Huko ni mbali jamani nmb mnastahili pongezi
ReplyDelete